Mke wangu anatokwa damu ukeni - naombeni ushauri

Mke wangu anatokwa damu ukeni - naombeni ushauri

kyimo rungwe

Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
72
Reaction score
25
Wana Jf.

Mke wangu ni mjamzito kwa sasa. Ajabu ni kuwa ana tatizo la kutokwa damu sehemu zake za uzazi, tatizo ni nini? Anatakiwa kufanya nini?

Tafadhali naombeni ushauri wadau.

Asanteni.
 
Mkuu mwanamke anaweza kupata hedhi atakama ni mjamzito
 
Ana ujauzito wa muda gani?Hali hio imenanza tangu lini?Ana maumivu yoyote?
 
Kutokwa na hedhi sio kawaida wakati wa ujauzito..nenda hospitali akachekiwe acha kupoteza muda hapa..
 
Kyimo Rungwe muone Dr Faster hilo sio swala la mzaa inapokuja mjamzito kuvuja damu
 
Back
Top Bottom