Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Wakuu,
Mke wangu ni wiki sasa tangu aanze kubleed analalamika sana maumivu ya tumbo, na huwa analia sana na haijawahi kumtokea huko nyuma ndo mara ya kwanza..
Naombeni ushauri wa kitaalamu..