Kwa hiyo unaona kama kuja kwake chumbani kupaka makeup tayari kume kupa ruhusa ya kumtaka kimapenzi?
yewomii na hizi lager naogopa kupewa ban ngoja nikalale unasemaje atii! Kwahiyo ni sawa mkeo kutembea na mdogo wako ukiwa haupo
Aisee wewe!Sasa we unangoja nini? Mi mwenzio nishakabanjua haka kabinti, maana dah! kalikaa kimitego mitego nimekavuta nikakapa kiss kakatulia nikamaliza mchezo...fanya kweli bwana usintie aibu
Mwambie dadake amnunulie make up zake, hataingia tena chumbani kwenu... Huko ulikofika siko kabisaaa...tena mkemee huyo shetani mpaka ashindwe!
pheew wanaume...mdogo wa mke wako kweli nimesikia hasira ghafla nyie ndo mnatembea mpaka na watoto mliowazaa
pheew wanaume...mdogo wa mke wako kweli nimesikia hasira ghafla nyie ndo mnatembea mpaka na watoto mliowazaa
kuna watu hutakiwi hata kuwaza kuwapitia...bora uwe na vimada ishirini,,kuliko
kutembea na ndugu au shosti wa wife wako...