Mke wangu atanilaumu Kweli?

Mke wangu atanilaumu Kweli?

Kwa hiyo unaona kama kuja kwake chumbani kupaka makeup tayari kume kupa ruhusa ya kumtaka kimapenzi?

yeye nadhani ana matamanio tayari na huyo binti sasa anavizia kila wakati ili amkute chumbani .. haiwezekani kutumia makeup za dada yake ndio iwe sababu ya wewe kudhani unaletewa mwanamke mwingine wa kumaliza tamaa za mwili
 
yewomii na hizi lager naogopa kupewa ban ngoja nikalale unasemaje atii! Kwahiyo ni sawa mkeo kutembea na mdogo wako ukiwa haupo

hiyo ni inshu nyingine...jogoo ni jogoo hawezi kuwa Tetea
 
mapenzi yana 'run' duniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! huko tuendako kuna kila dalili ya watu kutunga sheria ya mahusiano ya ndugu wa damu, walahi tena!!!
 
Sijaona wala sitamani kusikia ujinga huu khaa basi heria nikae kimya.
 
Mkuu kachukulie tu kuwa kamepotoka..na siku zote kumbuka 'two wrongs can never make it right'..we.. mtu gani kila Jaribu linakushinda??..Lazima uwe na 'hulka'!!!
 
Kweli ulezi umekuwa mgumu kweli siku hizi! Imagine mzazi wake anaamini na kurelax kabisa kuwa mwanae atakuwa safe zaidi akikaa kwa dada na shemeji yake kumbe ndo kamleta mdomoni mwa mamba!

Ishinde roho ya zinaa, mwambie mkeo amkanye mdogo wake na amwezeshe vipodozi vyake!
 
Sasa we unangoja nini? Mi mwenzio nishakabanjua haka kabinti, maana dah! kalikaa kimitego mitego nimekavuta nikakapa kiss kakatulia nikamaliza mchezo...fanya kweli bwana usintie aibu
Aisee wewe!
 
Mwambie dadake amnunulie make up zake, hataingia tena chumbani kwenu... Huko ulikofika siko kabisaaa...tena mkemee huyo shetani mpaka ashindwe!

Mambo mengine sio shetan ni yeye mwenyewe atakuwa kaendekeza umalaya, kwan anashindwa kumnunulia hvo vipodoz na kumkataza asiingie chumban kwao? Hashima ya wapi hiyo.?
 
pheew wanaume...mdogo wa mke wako kweli nimesikia hasira ghafla nyie ndo mnatembea mpaka na watoto mliowazaa

Kabisa Chauro. Yaani kuna watu utadhani akili zao wameshikiwa.....
Wanawake wooote ukatembee na 'mdogo wako?'
Wallah nisijue tu labda....
 
Usiposhiba kwa kula hauwezi kushiba kwa kulamba,kama hautosheki kwa mkeo ambaye unafanya nae mapenzi kwa uhuru unafikiri utatosheka kwakufanya mapenzi ya wizi na shemeji yako?
 
pheew wanaume...mdogo wa mke wako kweli nimesikia hasira ghafla nyie ndo mnatembea mpaka na watoto mliowazaa

Sio wanaume, sema mwanaume au mtaje jina huyo muhusika, sidhan kama wanaume wote tunasapoti ujinga huo.
 
Kwanini uwaze kumbanjua?. Nakushauri jarbu kumkaripia, ila kama unataka kupoteza Amani ndani ya nyumba yako endeleza tamaa zako.
 
kuna watu hutakiwi hata kuwaza kuwapitia...bora uwe na vimada ishirini,,kuliko
kutembea na ndugu au shosti wa wife wako...
 
kuna watu hutakiwi hata kuwaza kuwapitia...bora uwe na vimada ishirini,,kuliko
kutembea na ndugu au shosti wa wife wako...

Yaani Bosi, kweli yote yanaumiza sana lakini hili la ndugu/rafiki yako kutembea na mke/mume.....aaah tafadhali! Tunatafutiana kesi za mauaji!
 
Think positive...what is all about 'kujipodoa chumbani kwako?'..Mr naona unataka kuelekeza nyumba yako kororkoroni na kaheshima kako kanakoendelea kupukutika unataka kapotee kabisa...binafsi sikuungi mkono!
 
una upungufu wa kufikiri na upeo mdogo nyie ndo mnawazalisha wasichana wa kazi tena ww yaonekana ni m2 rahisi sana ukichekewa na msichana yoyote wazo lako ni kukamua si vyote ving'aavyo ni dhahabu utajuja kosa amani ktk maisha yako yote
 
Back
Top Bottom