Mke wangu azidiwa,

Mke wangu azidiwa,

Tatizo unaonjaonja, utakiwa kutoa dozi ya ukweli ili umalize hamu ya kesho na keshokutwa. Au mkuu ulikunywa yale mambo yetu, usije ukawa unamtesa bure dada yetu.

huwa tukimaliza kimoja huwa yuko hoi kama amezimia hadi mi ndio namtoa kwenye mikojo ya mtoto, na baadhi ya siku huwa napiga pull usiku au asubuhi ili kusupliment, sijayagusa yale mambo kabisa,
 
OK Ziltan, wewe ni mwanume wa ajabu sana, dume la mbegu na unanguvu kali za kiume.. mko wachache sana duniani! unadhani hizi sifa zitzkusaidia, kama bado ongezea na punyeto mkeo atakuona wa maana sana!

ahsante,mkarara kama kawa na ndio nyumba yangu ndogo
 
Ukisafiri kikazi nje ya nyumbani itakuwaje?? acha mawazo finyu...think outside the box.....

ndio maana naomba ushauri ili ikitokea hivyo mambo yasiharibike,
 
Habari wanajamvi,
mwenzenu nina mke na mtoto mmoja yapata miaka 6 sasa,
mwanzoni tulipooana mapenzi yalikuwa moto na kila mmoja alienjoy,baadae kidogo nikawa busy na masomo (kujiendeleza privetly) hapo kidogo ikapunguza kukutana 6x6 kwan mara nyingi nlikuwa nnkirudi kitandan karibu saa 8 za usiku kwa muda wa miak karibu 3,
baada ya hapo nikachaguliwa kwenda chuoni na nashukur nimegraduate mwez jana na sasa nnko nyumban full,
kilichonileta hapa kuomba ushauri ni kwamba kwa sasa mimi huwa siwezi kabisa kulala bila kupata sex,
na hilo jambo shemeji yenu linamshinda pamoja na jitihada zote za kukaa naye kwa upendo wote ,kumwandaa kabla ya tendo ikiwemo kwenda sana uvinza, nk,
lakini haitoshi kwani huwa anaomba nimpumzishe na tukienda anawahi kuchoka japo anajitahidi hivyohivyo kunilinda lakini analalamika sana hadi namuonea huruma kwani kwa sasa anazidi kupungua mwili na sababu aliyonieleza ni hiyo ya kusex kila siku,
naomben ushauri ktk hili tafadhali.

Huyo ana lake jambo!! inawezekana wakati unasoma kuna mchizi alikuwa anachakachua so be carefull fanya mambo ya research m2 wangu.
 
Amekuloga na kinachomkondesha anajutia alichokufanyia mpaka ukageuka beberu
 
mkuu we endeleza libeneke, fuata moyo ukipendacho huyo mkeo anatakiwa ajue kuwa hiyo maneno unastahili kuipata pale unapoihitaji. asipokupatia wewe uende kuipata wapi. endelea kukamua akishindwa rigwaride akwambie ili uhamishie kambi kwa wanaoweza
 
huwa tukimaliza kimoja huwa yuko hoi kama amezimia hadi mi ndio namtoa kwenye mikojo ya mtoto, na baadhi ya siku huwa napiga pull usiku au asubuhi ili kusupliment, sijayagusa yale mambo kabisa,

utakufa wewe, kama dini inaruhusu nakushauri oa mwingine pengine ndo mkeo atajua umuhimu wa hiyo maneno
 
huenda una matatizo ya kisaikolojia yanaitwa MANIA
 
1. Dah man hiyo ni soo.......!!!!! unajua hiyo mambo ni psycho-somatic so deviate attention kwenye mambo ingine kama......movie na mazoezi (ili mind na body yako vipeleke attention huko)

2. Then ongea naye ujue nini kinawork vizuri kwake na how. Sio kwa sababu mkeo ndo u assume u knw her better (kama usemavyo...chumvini kwa sanaaa....) r u sure ndo fave kwake??

3. Umekuwa away kwa muda (3yrs) as u say so anahitaji muda ku adopt hiyo pace (kama yupo tayari)...... hata kama ingekuwa ni boda boda kwa muda huo oil ingeganda na ingehitaji oil mpya etc etc

4. Sex is best measured by it quality n not quantity i.e bao moja kila siku.....yawezekana moja of a poor quality (time taken n styles son) ndo mana hataki banaa

RE-VISIT YOUR DRAWING TABLE SON
 
habari wanajamvi,
mwenzenu nina mke na mtoto mmoja yapata miaka 6 sasa,
mwanzoni tulipooana mapenzi yalikuwa moto na kila mmoja alienjoy,baadae kidogo nikawa busy na masomo (kujiendeleza privetly) hapo kidogo ikapunguza kukutana 6x6 kwan mara nyingi nlikuwa nnkirudi kitandan karibu saa 8 za usiku kwa muda wa miak karibu 3,
baada ya hapo nikachaguliwa kwenda chuoni na nashukur nimegraduate mwez jana na sasa nnko nyumban full,
kilichonileta hapa kuomba ushauri ni kwamba kwa sasa mimi huwa siwezi kabisa kulala bila kupata sex,
na hilo jambo shemeji yenu linamshinda pamoja na jitihada zote za kukaa naye kwa upendo wote ,kumwandaa kabla ya tendo ikiwemo kwenda sana uvinza, nk,
lakini haitoshi kwani huwa anaomba nimpumzishe na tukienda anawahi kuchoka japo anajitahidi hivyohivyo kunilinda lakini analalamika sana hadi namuonea huruma kwani kwa sasa anazidi kupungua mwili na sababu aliyonieleza ni hiyo ya kusex kila siku,
naomben ushauri ktk hili tafadhali.

mkuu tupe miaka yake kwanza atutatenda haki kumeb ana unamnyonya uvinza mama yako mzazi unajua watoto wengi wa sikuhizi wamekimbilia wanawake juu ya umri wao sasa unajua mwanmke akifika miaka 40 mishipa ya uzazi inachoka so hata kumyonya unamuumiza

twende taifa ukajue nini maana ya cecafa ni mashindano ama hela uone jinsi kilimanjaroinavyopita sina mengi
 
uko kwaida kabisa kaka asikuambie mtu! Cha msingi ni kujifunza namna ya ku-control hiyo kitu! Tune you mind as early as possible that, 'today Im not going to have sex'
 
Mkuu aminia we ni jogoo, umenimaliza ulivosema hata uvinza unaenda kwa sana. Mzee kwani unapokuwa uvinza hajisikii kitu? Mtishe kumalizia nje ili asutuke na kukupa mlo mzima, K
Kwani kwao hakukuwa na kitanda?
Hajaja kulala, lazima awajibike na kutimiza wajibu wake, mwambie aache uvivu
 
Aiseee that's too much,,, kama ni kila siku hapo naona shemej anamadai ya msingi ikiwezekana hata kuandamana kwa hili,, kumbuka wao wanafanywa na sisi tunawafanya so kunatofauti ya maumivu hapo,,,,imagine wewe ndio ungekuwa ni yeye na yeye akawa ni wewe bila shaka ungechoka kufanywa daily,, Fanya kumpumzisha mwana la sivyo utampoteza,
 
Si kweli Kabila Watu Hawaii ni wagon go sana yam kinki kuna jamboree ndani make linamtatiza mwaangalie Mara mbilinyi mbilinyi,,
 
Back
Top Bottom