Pole kwa changamoto mkuuMimi ni me nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa .nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.basi Mungu c athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda.familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
Pole sana mm pia yamenikuta hawa viumbe sijui wanatuchukuliaje ni waninafsi sana nilikua nampenda sana kuna vitu nilivyomfanyia nikikuambia utasema mm ni bwege lkn wapi najielewa cku hizi namuangalia tu nimeanza mawasiliano na x wangu nasubiri dogo akue kidogo tu nimteme sitaki unafiki mmMimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.
Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa
Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.
Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.
Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.
Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.
Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
uoe ili ugundue nini mkuuDah na Mimi nataka kuoa nakutana na hii issue naishiwa nguvu
Mkopo unaisha lini?Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.
Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa kuwa yeye yupo home nivutavmpunga kwa mkopo then aanze biashara flani hivi.nilimwambia anipe uhakika wa hicho atakochokifanya kama kitaenda sawa
Nikamwambia na madhara ya hizo loans kama vile life kuwa tight n.k akasema kuwa ataweza kumudu.basi mimi nikavuta mzigo ,nikampatia akaanzisha biashara ,ikawa ilienda poa ,lakini baadae zikatokea shida katika usimamizi biashara ikafeli.kwa hyo akarudi home ,mimi nikawa ndio Kila kitu tena.
Basi Mungu si Athumani mlango mwingine ukafunguka,yeye akaajiriwa lakini hata hyo Hela yake bado ikawa ni ndogo ukilinganisha na take home yangu,lakini kulingana na kazi yake akawa anapata posho na maisha yanaenda. Familia ikaongezeka tukawa na watoto ,ndugu n.k kwa kifupi majukumu yakaongezeka ,.tukajubaliana nivute mzigo tujenge nikaenda benki tukavuta mpunga kweli ,tukaanza kujenga kweli,.
Mimi Hela ikawa ndogo napata kama walau Hela inayolingana na 1/3,basi yeye salary ikaoanda akawa ananizidi mimi walau kwa 59% ya mshahara plus marupurupu.akaanza kuwa na matumiz makubwa kupita hata kipato,akaanza lugha ya dharau kuona sifanyi chochote ndani ya nyumba.
Hakuna kushirikishana jambo lolote,akaanza kudemandi kuwa Sina akili ,Sina mpango wowote kuhusu maisha.mimi sio mtu wa vurugu sana.nakaa kwa kujuta sana kutokana na gharama za maisha,hata mambo yangu mengi nadhindwa kufanya.
Kwa kifupi ninajuta sana sijui nifanye nini jamani.mnaosema kataa ndoa mpo sahihi kwa sehemu wanawake Mungu anawaona,
Changamoto ndogo hiyo unawapa kataa ndoa point za mezani?Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.