Amejifunza kwa buzi mwanajeshi au polisiWanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
tumia akili broWanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Ni mitandao mkuu, mwenzao aliwahi kuwashauri Instagram kuwa usimwite mwanaume baby bali mkuu, boss, ceoWanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Sasa hapa nimeelewa kwanini anakuita hivyo.Mwanzo nilichukulia poa alipokuwa anasema "mkuu"
Juzi kati kuna jambo lilitokea home kwa kuwa ndio kahamia pale nimuelekeza kwa text cha kufanya akajibu "Sawa kiongozi" daaah nilihisi hasira sana na nikitafuta namna ya kumuuliza nakosa
Ninazo sana hizo😂Lazima kuna kitu umezingua hana ile mood ya kukuita majina romantic lakini pia anaogopa kukusemesha kawaida hivyo ana balance,ila hapo anakukejeli.
Nime experience hilo kwa mke wangu,nikishazingua naitwa boss
Mmh we nawe ushtakiwe kama Didy....20 ni mingi sanaMimi mke wangu namzidi zaidi ya miaka 20! Kati ya majina ya utani anayoniita ni "wee mzee, leo hunitoi out?", na mimi namuitaga "wee mdada leo umezingua, mbona hujaniamsha mapema wakati nilikuambia nawahi mishe zangu Town?"
Haya wanabodi hapo tunakosea? 😁😁😁
Labda mzungu ndio atanuna kuitwa bonge....sie wa Tz tunafurahia tu😅Na wewe kama ulikuwa unamuita baby ,, honey acha anza kumuita madam ili kubalance mzani ,,, afu cheki reaction yake ,, akiendelea tafuta jina jingine baya mfano kama mkeo ni mnene anza kumuita bonge
Mke : mambo
Wewe : poa bonge niambie
Afu ,, urudi haps kwa ajili ya mrejesho
Asante,, hope it will help
Atakua member wa JFWanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?
Uzuri women are so emotional ,, anaweza kufurahi baadaya kusikia akiitwa hivyo but after few weeks laterLabda mzungu ndio atanuna kuitwa bonge....sie wa Tz tunafurahia tu😅
Yeah uko sawa...Uzuri women are so emotional ,, anaweza kufurahi baadaya kusikia akiitwa hivyo but after few weeks later
,, utasikia baby sasa hivi naenda gym unanionaje nimepungua ??
Ukusikia maswali haya ujue ujumbe umefika