Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Amejifunza kwa buzi mwanajeshi au polisiWanabodi hii hivi iko sawa.
Ghafla huyu binti ananiita majina ambayo sio kawaida kuyasikia kwa wanawake mara ananitext "Hey mkuu, gas imeisha" mara "Mkuu unarudi saa ngapi".
Je hio ni sawa au ni red flag?