Mke wangu habebeki...

Sio siri mkuu.,kuna mwanaume anamchuna huyo mwanamke..tena inawezekana huyo jamaa ndo anamforce kukuomba pesa...TSHS Million 1.8 kwa mwezi ni pesa nyingi sana kwa maisha ya mtanzania.
 
Sijui kwa kweli ila kwa upande wa wazazi sidhani sababu najua wangekuwa na shida wangeniambia..najua uwezo kwa kupata msosi wa kila siku wanao na isitoshe hawana mtu anayewategemea..na hisitoshe bado kuna bro.wangu ana uwezo wa kuwasaidia zaidi kuliko mimi..
 
Niko nasoma nje ya Tanzania huku nifanya kazi katika company fulani nikilipwa mshahara dollar 1,800 kwa mwezi,najigharamia mwenyewe masomo yangu kwa 50% nyingine ni sholarship na gharama nyingine za maisha.


Jamani mke wa namna hii nimfanyeje?

Punguza kutnka $1000 up to 500 uone atafanya nini.
 
Kaka hiz ni alama za nyakati funguka mkeo anahonga pesa hzo kwa mwanaume hana lolote kaka umekosea kuoa mwanamke wa hvyo kero sana we bwaga mzigo wanawake wote hao.
 
Kaka huyo mwanamke kesha kuwa maliboro ya mavi isipokuelemea ita kunikia soon temana nae faster.
 
Pia msi rule out ile mentality ya wabongo kwamba ukiwa ughaibuni basi hela ni eazy kupata. Uskute mdada ana mentality kwamba mume wake anakaa jirani na obama huko US kwahiyo hela sio ishu na hivyo hako kamilioni na nusu anakaona kama hela ya kiberiti tu na bado inamjia fikira kwamba mume wake anahonga kwavile anampelekea kahela mbuzi, na vile umesema wazee wanamsapoti basi pengine na wao wanapata share yao sasa the more unatuma na wazee share yao inaongezeka.

Kaka chunguza vizuri kabla uamuzi hizi mentality zipo na zinaathiri pia.
 
Wanawake wengine bana ndo wanasababisha hata wengine wakose waume wa kuwaoa wanaowajali kwa sababu ya mambo kama haya...sasa wewe kweli unatumiwa dola 1000 kila mwezi unasema haitoshi jamani yeuwiiii si nimpate mume kama huyu matatizo yangu yapungue..........

Mwaya Jamii huyo mpe piece of your mind kwa kweli asikuzingue kabisa mgombeze kidogo ajue kuwa na wewe unakasirika saa zingine...kuwa mkali kabisa...saa zingine ukali unasaidia
 
Niko nasoma nje ya Tanzania huku nifanya kazi katika company fulani nikilipwa mshahara dollar 1,800 kwa mwezi,najigharamia mwenyewe masomo yangu kwa 50% nyingine ni sholarship na gharama nyingine za maisha.

...swali zuri sana hapo kwenye buluu...

muulize yeye mwenyewe akutumie mchanganuo wa gharama zake kwa mwezi, huenda ukaelewa
na kumsaidia ku bajeti zilingane na hali halisi ya kipato chenu katika kipindi hiki cha mpito.

...pole sana.
 
Sio siri mkuu.,kuna mwanaume anamchuna huyo mwanamke..tena inawezekana huyo jamaa ndo anamforce kukuomba pesa...TSHS Million 1.8 kwa mwezi ni pesa nyingi sana kwa maisha ya mtanzania.

inategemeana kaka...

"mtanzania" amegawanyika katika makundi matatu kulingana na kipato chake

1. maisha ya hali ya chini
2. maisha ya hali ya kati
3. maisha ya hali ya juu

conflict inaweza jitokeza kwenye makundi mawili hayo ya chini iwapo kipato kitakuwa
cha hali ya chini, ukajidai kuishi maisha ya hali ya kati...au,
maisha ya hali ya kati ukajaribu kuishi maisha ya hali ya juu...!
 
Wanaume nasi huwa sio. Labda ulimwambia unalipwa USD 1 800,000 akilinganisha na unayom2mia. Anaona unampunja.
 

Kweli!
 
huwa hatukosi la kulalamika jamani hela yote hiyo bado analalamika na kazi anafanya huyo anakutafutia maumivu tu mwisho wa siku ongeeni mapema kabla mambo hayajawa mabaya zaidi
 

Unanikumbusha dada mmoja yeye mumewe yuko ughaibuni, anamtumia hardly dollar 100 (mia moja kwa mwezi). Akimwambia pesa hajatosha mwanaume ananuna!

Jamani mnaoishi ughaibuhi, siku hizi tunasema laki si pesa, maana ukipewa laki moja mwezi mzima mama na mtoto! Hivi mtu kama huyu akikutama na Jamii01 akawa anamtumia 500 kwa mwezi (assuming Jamii01 atakuwa kasave $500 na huyo bibi kagain $400 zakumtosha matumizi)


Enyi baadhi ya wanaume wa kitanzania muishio ughaibuni, acheni ubahili au unganeni na familia zenu. Mwanaume si suruali bali kulea familia na kuitosheleza.
 
hehehe FA hili ndilo nililoliongelea kwenye post iliopita. Ughaibuni ukipigika unapigika mbaya sana hizo mentality ni vyema tukaziondosha. Na ukiwaambia jamaa warudi nyumbani pia ni kosa cuz ughaibuni wengi wao wanaishi kwa matumaini kwamba ipo siku watatoka, lakini nyumbani matumaini ziro.
 
Jamani inategemea na standard ya huyo mke. Si vema kutoa comment kwa mtu asiyejulikana hata ana historia gani na anafananaje. Its an evil to lower down our living standards...kama mme alianza na dola 2000, basi inabidi apandishe mpaka 2500 ili ndo isiwe ndoano
 
ZINDUKA MULIKA MWIZI............na lazima mwizi wako ni viserengeti boyzzzzzzz
mana hawez kutumia mln 1 na lak8 kila mwez yy nani amekua malkia wa uk au mana cjamuelewa
labda kama anajenga kwako la sivo kuna kiserengeti kimepata jackpot bingo hapo
angalia usijerudi bongo cku ukawehuka bada ya kukuta viserengeti boyz vyote vinavokuzungukeni hapo mtaani kwenu viko na house nzuri na macars.......mana haingii akili mln 1 na laki 8 kwamwez na bado anakugombeza na yy huku anawork loh!
labda kama ww uwe umeongopa hapa jf juu ya kumpatia huyo my wife wako iyo pesa
 
tatizo la huyo dada naloliona amesahau pamoja na mumewe kutuma hizo pesa ni mwanafunzi inabidi atoe ahueni kidogo kwa hilo na ukizingatia mtoto ni mmoja au labda wana mipango ambayo huyu jamaa kaficha na hajaiweka wazi hapa................

 
Reactions: Mbu
Wengi mnamponda huyo mwanamama lakini hamjauliza hiyo pesa ni pamoja na kulipia kodi ya nyumba? Kama ndiyo wamepanga nyumba ya bei gani? Mtoto wao anasoma? kama ndiyo anasoma shule ya aina gani na anafikaje huko shule? Mke ana gari? Kama ni ndiyo ni gari la CC ngapi? Nyumbani wanalindwa na kampuni ya ulinzi?

Kuna watu wanalipa apartment kati ya US$ 700 mpaka US$ 1000. Usafir wa kumpeleka na kumchukua mtoto nursery inaweza kuwa issue kubwa kulingana na hadhi ya shule. Kwangu mimi hizo US$ 1,800 kwa wengine wenye mpaka swimming pool, KK Security guards and alarm hiyo ni pesa ndogo tuu
 

Mimi huwa nawashangaa pia, ila mwisho wa siku unasema kila mtu na maisha yake, hutakiwi kuumiza kichwa kwa ajili ya maisha ya mtu.

Imagine mtu uko/yuko in his 40s, anaishi kwenye viapartment uchwara, hana kazi ya maana huko warehouse ingawa na Masters degree tena kwenye field yenye market bongo. Hataki kurudi Bongo (kwao na kwa mkewe) vile anaogopa kuanza au watu watamcheka. This is stupidity of all the time. Kama mambo hayajawa mazuri at your 30s usitegemee eti iko siku yatakuwa mazuri at your 40s, tena without any efforts za kujitoa kwenye hilo dimbwi la kuajiriwa. Mtu kama huyu akiibiwa mke atamlaumu nani nae anatuma dollar mia kwa mwezi?

I pray and work hard so that I retire at 45, hapa hapa bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…