...bado hatujausikia upande wapili wa shilingi bana...mazowea yanatabu,
huyu bwana lazima alichangia kuwepo hiko kiwango kikubwa sana cha matumizi
kwa familia yake.
...msomeni mstari kwa mstari,...kamuachia mke gari, gari inahitaji mafiuta, service, nk...
siku hizi mgao mnaona ulivyoshika kasi...mambo ya ku save kwa kununua kitoweo in bulk hakuna tena...
imagine hapo kuna babysitter, kuna entertainments za mtoto tena kama anasoma hizi academy ndio balaa.
maana kuna kulipia na transport pia.....acheni nyie, maisha yamekuwa tough!...
1.8m/= kwa mwezi haitoshi iwapo uliwahi kuishi kwa kipato zaidi ya hiko!
kujishusha shughuli!