Habari wataalamu, naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu.
Mwanzoni mwa mwezi wa saba wife akiwa na ujauzito wa miezi mitatu alianza kutoka damu ghafla na hatimae mimba ikatoka na wakampa dawa flani sikumbuki za kusafisha. Tatizo ni kuwa mpaka sasa hajableed takribani miezi mitatu kasoro na tunaendelea kubinuka kama kawa.
Ninachouliza ni kuwa kama anaweza kupata ujauzito bila kupata hedhi? Na kama ameshapata haiwezi kuleta shida tena?.. naomba sana ushauri wenu wadau
Anatumia kijiti kile cha uzazi wa mpango?Habari wataalamu, naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu.
Mwanzoni mwa mwezi wa saba wife akiwa na ujauzito wa miezi mitatu alianza kutoka damu ghafla na hatimae mimba ikatoka na wakampa dawa flani sikumbuki za kusafisha. Tatizo ni kuwa mpaka sasa hajableed takribani miezi mitatu kasoro na tunaendelea kubinuka kama kawa.
Ninachouliza ni kuwa kama anaweza kupata ujauzito bila kupata hedhi? Na kama ameshapata haiwezi kuleta shida tena?.. naomba sana ushauri wenu wadau
Subirini mtoto tu.Kweli nimepima kwa UPT imo, nataka abebe kwa uangalizi wa daktari
Kweli nimepima kwa UPT imo, nataka abebe kwa uangalizi wa daktari