ha ha ha google itama kweli hii elimu ya kina dr. mwaka imeleta mapinduzi makubwa ya kitabibu.
Fafanua kiundani zaidi juu ya hii kitu ya kumfokea mke kisha ukampiga miti asipate mimba
maana yaweza kuwa njia bora sana ya kuzuia mimba zisizo za lazima.
ok ok.....nipe link nzuri basi nizameha ha ha google it
ngoja nizimue kwanza ndiyo nitakuwekea bado nina ning'iniaok ok.....nipe link nzuri basi nizame
ahaaa...chonde chonde uwe makini kwenye kuzimua asubuhi hiingoja nizimue kwanza ndiyo nitakuwekea bado nina ning'inia
nilichukua take away wanifuate home kama wanaweza nipige mtuahaaa...chonde chonde uwe makini kwenye kuzimua asubuhi hii
maana huko chuga kuna watu wamedakwa jana wakapigwa
tanganyika jeki kwa kuzimua asubuhi kama hii.
wewe si mzima hata kidogo kweliMimi na mke wangu tumeoana miezi minne iliyopita tumejaribu sana kufuata taratibu zote ikiwemo kuhesabu siku zake za urutibisha lakini hatujafanikiwa... je nifanyeje kuweza kufanikisha hili, ushauri yafadhali
Ahaaaa....hapo umewaweza kinoma, maana wakija kukufata wataambulia kuungana na wewe kugonga vyombo.nilichukua take away wanifuate home kama wanaweza nipige mtu