Mke wangu hajakamata ujauzito mwezi wa nne baada ya ya ndoa!

Mke wangu hajakamata ujauzito mwezi wa nne baada ya ya ndoa!

Bado sana! Furahien ndoa kwanza, mtoto atakuja tu
 
Bado ni mapema mno mkuu....endeleea kuipiga kisawasawa iyo kitu mimba itakuja tuu.....
 
Acha kuhangaika. We weka namba zake hadharani usaidiwe vizuri humu jukwaani
 
Usihangaike mkuu.Labda ikipita mwaka unaweza kuanza kufuatilia kwa madactari.mm nilikaa mwaka na mwezi ila kwa sasa nina kijana mkubwa.
 
mkuu wadada wengu hua wanatumia dawa za kuzuia mimba. Sababu wanapima je unauwezo wa kumtunza yeye na mtoto?
 
ama kweli hii elimu ya kina dr. mwaka imeleta mapinduzi makubwa ya kitabibu.
Fafanua kiundani zaidi juu ya hii kitu ya kumfokea mke kisha ukampiga miti asipate mimba
maana yaweza kuwa njia bora sana ya kuzuia mimba zisizo za lazima.
ha ha ha google it
 
ngoja nizimue kwanza ndiyo nitakuwekea bado nina ning'inia
ahaaa...chonde chonde uwe makini kwenye kuzimua asubuhi hii
maana huko chuga kuna watu wamedakwa jana wakapigwa
tanganyika jeki kwa kuzimua asubuhi kama hii.
 
ahaaa...chonde chonde uwe makini kwenye kuzimua asubuhi hii
maana huko chuga kuna watu wamedakwa jana wakapigwa
tanganyika jeki kwa kuzimua asubuhi kama hii.
nilichukua take away wanifuate home kama wanaweza nipige mtu
 
Mimi na mke wangu tumeoana miezi minne iliyopita tumejaribu sana kufuata taratibu zote ikiwemo kuhesabu siku zake za urutibisha lakini hatujafanikiwa... je nifanyeje kuweza kufanikisha hili, ushauri yafadhali
wewe si mzima hata kidogo kweli
 
nilichukua take away wanifuate home kama wanaweza nipige mtu
Ahaaaa....hapo umewaweza kinoma, maana wakija kukufata wataambulia kuungana na wewe kugonga vyombo.
mpaka mwisho wa siku wanajikuta njwiii...na kuishia kusahau kilicho waleta kwako.
 
Last edited:
Tatizo umezidi kukamua asbh mchana jioni khaa huyo mtoto atatungaje mbegu walau zikomae kwa siku 3 vumilia bwana mkeo siyo dose ya chloroquine 4X4X2
 
Miezi minne tu umeanza kulia lia? Je ikifika miaka minne je? au kumi na nne je?
Muda bado, endelea kuomba na kula vyakula vyeti kutia joto mwilini, watoto watakuja tu.
 
Back
Top Bottom