embu jaribu kutumia kifo cha mende na akili ya mkeo iwe imetulia si umetoka huko unamfokea halafu unakula mzigo mimba hatapata
Mimi na mke wangu tumeoana miezi minne iliyopita tumejaribu sana kufuata taratibu zote ikiwemo kuhesabu siku zake za urutibisha lakini hatujafanikiwa... je nifanyeje kuweza kufanikisha hili, ushauri yafadhali