Mke wangu hajakamata ujauzito mwezi wa nne baada ya ya ndoa!

Mke wangu hajakamata ujauzito mwezi wa nne baada ya ya ndoa!

BADO MAPEMA SANA KU HITIMISHA IVO. ENDELEA TU ANGALAU MWAKA KAMA ITAKUWA BADO NENDA UPATE USHAURI KWA DAKTARI BINGWA WA WANAWAKE. HUKU MTAANI TWAWEZA INGIZANA CHAKA.
 
Yan wala usihofu kwa habari ya muda.namie nlipatwa nahali ka yako nkashauriwa kwenda hosp nkaenda bt swali la kwanza lilikuwa" unamuda gan kwe ndoa? nkasema 5month.Akanambia if less than one year subir.Baadae nkafanikiwa
 
embu jaribu kutumia kifo cha mende na akili ya mkeo iwe imetulia si umetoka huko unamfokea halafu unakula mzigo mimba hatapata

Halafu wew na kifo cha mende wewe

Itakua hii ndo unayoipenda zaidi baada ya pesa!
 
Badili style za Ku do!! Na usiwe umechoka wakati wakati mnakutana kimwili
Piga side by side hii ni rahisi zaidi kunasa
 
Pumzika siku kama tano mpaka ile siku ambayo yupo tayari kupata mimba kula vizuri kuanzia asubuhi pumzika vizuri muda sahihi ukifika kamata goma lako piga side by side ili mbegu zisafiri haraka na kisha asiende kuoga muda huo kalafu mwezi wa tatu uje hapa utuambie imekuwaje
 
dah naelewa unachopitia mkuu. Mi nlikaa mwaka na nusu kila nikipga hakuna kitu kwenda hosp vipimo vyote viko sawa badae baada ya kufatilia kwenye maombi ndo nikajua kuwa kuna waswahili wanabana baada ya maombezi tu pepo akatoka mwez unaofuata kitu ikanasa hapa sasa nautafuta mwez wa tatu
 
Umebase kwa mke as if mwanamke ndio mwenye tatizo. Nendeni hospital mkapime wote.
 
Nadhani ni mapema sana kuanza kulia kwa nini mkeo hajatunga mimba unless kama kuna kitu unahisi hakiko sawa kwenu ninyi nyote ama mmoja wenu.

Kama hakuna doughty yoyote ile, wewe tulia kula mzingo pasipo stress na Mungu atatenda kwa wakati wake.
 
Mimi na mke wangu tumeoana miezi minne iliyopita tumejaribu sana kufuata taratibu zote ikiwemo kuhesabu siku zake za urutibisha lakini hatujafanikiwa... je nifanyeje kuweza kufanikisha hili, ushauri yafadhali

Mkuu usiwe na haraka na kupaniki! Mbona huo muda ni mdogo sana. Nakushauri ondoa woga na wasiwasi wakati wa ku do! Uwe umerelax, na ufanye maandalizi kabla ya ku do.

Dr wangu alinishauri kipindi fulan kwamba ukiwa na hofu yoyote ni ngumu sana, hasa pale kila unapo do unataka mtoto na kwa kila tendo umedhamiria!

Come down, na u-enjoy ndoa kwanza, upige ma show ya kufa mtu ukiwa umetulia akili! Mtoto wala hayupo mbali kama unavyofikiri mkuu!
Pia, usiwe na mawazo kwamba wewe au mkeo mna tatizo! Jipe muda, atleast mwaka mmoja, ukiona muda umepita unaweza kwenda kwa specialist akakushauri mambo mazuri!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kuwa na subra kwani allah (creator) ndio mmiliki wa kila
Kitu na watoto ni kama mtu anavyo pata riziki mwingine akapata watoto akakosa mali, mwingine anapata mali watoto inakuwa ngumu na mwingine anapata elimu uchumi anakosa na viseversa
 
Back
Top Bottom