Mke wangu hajali familia

Fuata huu ushauri utakuja kutushukuru humu.👍
 
Mie nahisi kuna kitu kinamsumbua kama vile ana msongo wa mawazo. Ana furaha muda mwingi? Hajawahi kukushirikisha jambo lolote labda ambalo unahisi linaweza kua linamkosesha furaha??
Nasema hivyo maana mie mara nyingi nikiwa na stress nashindwa hata kufanya chochote hata kutoka tu inakua shida ila najitahidi sana kwa mtoto wangu apate mahitaj yote muhimu hata kama nitafanya kwa tabu. Na hali hio hua haichuku muda mrefu .
 
Naomba namba zake
 
Kabla ya kumlaumu tukushauri uangalie afya yake ya akili kwanza.

inawezekana kuna kitu kinamsumbua.

Hamna mama ambaye yuko mentally okay anaweza kuwa hivyo kwa watoto wa kiwazaa kuwazaa.
Au ni wale akili akili zime focus kwa vijora.
Hata hivyo pole mkuu.
 
Sikuhizi kuna baadhi ya wanawake asilimia kubwa wamekuwa hovyo hawajali familia wala malezi na Wana act ka ma slay queen Bora mtu ka hujali watoto usizae tu.
Kabisa
 
Huenda kule mwanzo kwenye kupetiana petiana ulimzoesha hivo.

Hata hivo mkuu, hukujua hiyo tabia kabla hujamuoa coz pale kwenye mapenzi moto moto huwa mnafungukiana msivyopenda na mpendavyo kufanyiana ndoani.
 
Kwa kifupi hapo wewe ni mwanamke na yeye ndo mwanaume
 
Daah inasikitisha aiseee mimi navyojali watt wangu natamani daily niwepo niwasevie chakula na mdogo nimlishe mwenyewe..any way hajabadilika tuu?.maana mwaka umeisha sasa.
 
Vipi, tangu muda huo hadi leo, kabadilika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…