Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa majibu hayo ni huyo jini mahaba ndiyo anayefanya kazi badala yako, nilidhani anatatizo kama nililopata mimi ila kwa sasa nimeshapona, ili kuwa nikofanya napata maumivu ya mguu na unauma kwa week mbili hadi tatu ndiyo ninapata nafuu, ila sasa nimeshapona.
Fuatilia emanuel tv huwa wakati wa maombezi wanawake wengi wanakutwa na spiritual husband anakua na mwanamume anayemmliki kimazingara bila yeye mwanamke kujua au kuridhia so yule man anamfanya mwanamke awe anawachukia wanaume wengine na wala hatamani sex na any man bt huyo spiritual ni mbaya sana hii usiombe. Kuna rafiki yangu wa kike kaskazini mwa tanganyika huko alikua na hilo tatizo.
Hata mimi mke wangu wakati wa tendo akifika yy tu hua anasema miguu hua inakufa ganzi na hawezi kuendelea tena,sasa sijui ndo huyo jina mahaba?
Badilisheni mfumo wa Maisha ya mapenzi, angalau mara mbili kwa mwez muwe mnatoka "out" kwa ajili ya chakula cha jioni au hata cha mchana sehemu ambazo unaweza kuzimudu ukilinganisha na kipato chako! Mara nyingine muwe mnalala hotel ili kubadili mazingira mloyazoea ya kinyumbani nyumbani! Mara nyingi ndoa bila kuchangamshwa inasinzia hata kuvunjika uvumilivu ukikosekana pande zote mbili!
Ndio maana kukawa na michepuko..Natumaini nyote wazima.
Naomba kusaidiwa jambo hili huwaje. Ninaishi na mke miaka miwili sasa, lakini nakosa furaha kabisa kwani tendo la ndoa linafanyika angalau mara 1 kwa wiki 2/3, tena kwa "ngumi". Mwenzangu anasema hajisikii.
Jambo hili ni kawaida?
Atakuwa mchaga lazima.. If true ntakwambia SIRI if not sina Cha kuchangia . Asante
uCHAFu...caring... Now days you are no longer romantic as you used to be
Thanks. I will try the best, who knows-,,,, things keep changing.