Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

Simpi talaka yoyote hata iweje kwa sababu nyingiii kikubwa wanangu wasipata anko mpya maana waifu nae anavyopenda mchezo wetu wa wakubwa dah
We jamaa ni msengerema boya boya fulan hivi, unajifanya gentleman kumbe ni ushubwada tu wewe kila anaekupa ushauri unamwijia juu,

Unaulizwa umemfanyia kosa lipi ili tupate kukushauri kulingana na uzito wa kosa, unabaki kutukana watu tu.

Kwa akili zako za kindezi hizo yawezekana hata hao watoto siyo wako. Na huko aliko sasahivi acha apelekewe moto tu mpaka akili zitakapo kukaa sawa.
 
Mkuu tafute mwingine, huyo amepata mdau wa kumpelekea moto
 
nenda kwa sangoma, amrudishe, muamini mungu kama hauna shida "MTU MZIMA MWENYE MVI KICHWANI" aliniambia haya maneno
 
Ulimkuta na bikra zote 2?
 
Huyu jamaa hajajiua kweli mbona yupo kimya.

Huyu jamaa alimuomba kwa mparange tu siyo bure
 
WAIFU AMERUDI NYUMBANI RASMI JANA IJUMAA. Niliusikiliza na kuufuatilia ushauri wako ulinigusa sana. Nilijifunza kumrudia Mungu huku naendelea kumtafuta mara kwa mara kwa meseji,vocha,watoto wangu niliwapelekea zawadi. Nikiri sitarudia tena kumkosea heshima na kuharibu nyumba yangu. Nimeamka mapema kuwaandalia breakfast matata after stealing the 'SHOW' na kummaliza kabisa.
 
Piga chini oa mwingine(๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…si huwa unashauri wenzio hivi?)
 
Wow wow wow a very powerful testimony.

Guys come and see what The Lord has done for this brethren.

Jamani namuinua Mungu kwa ajili yako mpendwa. Jina lake Bwana libarikiwe sana.

Wapendwa nadhani tunaona jinsi Mungu anavyojibu tukimtafuta kwa moyo wote. Neno linasema kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana akiomba kwa bidii. Rafiki here decided kuiacha dunia. Akashut sauti zote zilizomsogeza mbali na Bwana.

He decided kurudi msalabani. Wapendwa wengi wetu tumepoteza, tumeharibika kisaikolojia kwa sababu ya wrong choices we made. Kuna ambao kiroho wamekufa kabisa they simply don care, neema ya Bwana ikawazukie.

Lakini kama in one way or another ulishamess up somewhere, good news Mungu yupo hapa. Jamani Mungu anakusikia. Turudi kwa magoti na machozi anajibu. Em refer to the story ya mwanampotevu. Lakini baba ake akampokea kwa furaha.

Kila mmoja leo kwa nafasi yako..kaa tafakari wapi ulianguka..tutubu tumrejee bwana naye atatusamehe, ataturestore...atatufanikisha katika nyakati sahihi.

The word of God says Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa BIDII wataniona.

#GodisGoodguys#
 
Bila kusahau

Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha na kuomba, na kunitafuta uso na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao na kuiponya nchi yao 2Nyak7:14

So people lets be compelled kuutafuta uso wa Mungu. I assure you hashindwi na chochote. Many of us tumefungwa kwenye lango la muda. We think like time is running. Sonultimately we make wrong choices. Na zinatucost sana. Lakini nani azijuaye nyakati zake?

Tujitie nguvu katika Bwana na tumuombe Mungu kuyajua na kuyatenda mapenzi yake ili shetani asipate hatia ya kutushtaki.

#sorrynimepreachonyourthread#
 
Kawaida ilivyo muombe mungu aliyemuumba aulainishe moyo wake aweze kurudi akutambue kama wewe mumewe....!
Kama kashindwa kukusamehe basi hata ibada zake hazina malipo yoyote)Kwanini asisamehe ikiwa mwenyezi mungu anasamehe viumbe wake?
Kila mwanadamu ni mkoseaji ila mbora niyule mwenye kukubali kosa akaomba msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ