Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

Pole kwa ujinga uliofanya kwa mkeo. Ila naamini sasa ndio unaona umuhimu wake wakati hayupo ktk hinaya yako..na hofu kubwa ni pale unapowaza mtu mwingine akimmiliki wakati wewe ulishaona unaumiliki wa kudumu😀😀😀, anyways..nakushauri kwa sasa mwache kabisaa atulie ajifikirie
mandawa kitambo sana Kilwa
 
Akunyimae mbaazi?

Acha aende dingilai miamala, chanjo, ugumu wa maisha vituvuruge na wanawake tena watuvuruge.
 
Asante ndugu asante sana ishu ni tukiwa wote anatakaga sana sasa inakuwaje huko au anavumilia. Jmosi nataka kuktumia ndugu yake ampeleke sehemu kinguvu alafu nizuke
Mbona unatumia nguvu mzee baba, time yako imeshapita waachie wengine.
 
Habari wakuu wa kaya. Iigweee

Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi kunipelekesha.

Nimemkosea mke wangu wa miaka 7 ya ndoa. Miaka 7. Tuna watoto wawili. AMEGOMA KUNISAMEHE AMEONDOKA, NAUMIA KUWAZA KUNA MWANAMME ANAWEZA KUMMLIKI.

Msinishauri nijikaze,siwezi siwezi siwezi kuona kuna mwanaume atakuja kuwa anatambulika kama baba au uncle kwa wanangu, nasema siwezi.

Ameacha kila kitu nyumbani ina maana kuna mtu ataenda kumnunulia vingine au? Nimejenga ila sioni faida ya kuishi kama watoto wangu hawazunguki nyumbani hapa na kelele zao.

Siamini kuzaa nje ovyo ovyo najua madhara yake. Nifanyaje arudi mama Doreen wangu. Amenivumilia mno. Najisikia vibaya sana naishi kama mhuni tu nyumbani. Nifanyeje arudi. Nizeeke mwenyewe au mtu mpya hapana hapana.

Mtakaotukana tukaneni tu. Nahitaji njia za kumrudisha. Yupo kwao
Kunywa maji mengi na korosho kidogo kidogo utasahau na kufungua ukurasa mwingine
 
Siwezi kuachana nae ana roho ya ajabu sana anasamehe sana mara nyingi ukikaa nae utashangaa
Hapa ndio mwanaume anaonekanaga boya kwa kujijaza ujinga, ukianza kuona hakuna mwingine kama huyo lazima ujinyonge, Omba msahama ila isiwe kwa kujivua nguo utasababisha matatizo ya kudumu [emoji2]
 
Habari wakuu wa kaya. Iigweee

Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi kunipelekesha.

Nimemkosea mke wangu wa miaka 7 ya ndoa. Miaka 7. Tuna watoto wawili. AMEGOMA KUNISAMEHE AMEONDOKA, NAUMIA KUWAZA KUNA
Duh!! Acha kumuomba msamaha endelea na mishe zako. Usionyeshe kama umeumia mbele yake. Jifanye kama hujari alichoamua
 
Asante ndugu asante sana ishu ni tukiwa wote anatakaga sana sasa inakuwaje huko au anavumilia. Jmosi nataka kuktumia ndugu yake ampeleke sehemu kinguvu alafu nizuke
Unaumia ukiwaza huenda kuna njemba inakamatia na mama watoto anataka sana kwa hiyo njemba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ila utazoea tu
 
Mtengenezee matatizo vibaka wapite na pochi na simu alafu kazini tafuta mtu amtie fitina la nguvu akikaa wiki mbili tuma vibaka nyumbani kwake aibee nguo na viatu vyote kama kuna hospital mnatumua ongea na doctor mtoto akiumwa hata na vimafua doctor amtishe mtoto ana mawazo yanayomsumbua anaweza pata tatizo kubwa mbeleni ahaa atarudii tu Mume ni kiongozi,mlinzi,mfadhili,mshaurii na muhudumiaji
Watoto wa manzese mnampa ushauri wa kimanzese manzese. Mguu wa shingo mguu wa roho
 
Ahaaaa! huyu ndo wa kutusimanga tuliooa single mothers kisa aliooa bikira. Kwa taarifa yako ukiona mwanamke anaondoka kwako na haondoki na kitu, ujue anapata huduma na mahitaji kwa mume mwenzio.

Mpeni pole joka jeusi. Kidume cha bikira.
Hahahaha!Joka yamemkuta,nlianza jua ni yy tangia anapost,na juzi kutokana na hasira kavunja mahusiano ya dogo mtu
 
Habari wakuu wa kaya.

Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi kunipelekesha.

Nimemkosea mke wangu wa miaka 7 ya ndoa. Miaka 7. Tuna watoto wawili.Amegoma kunisamehe ameondoka, naumia kuwaza kuna mwanaume anaweza kummliki.

Msinishauri nijikaze,siwezi siwezi siwezi kuona kuna mwanaume atakuja kuwa anatambulika kama baba au uncle kwa wanangu, nasema siwezi. Ameacha kila kitu nyumbani ina maana kuna mtu ataenda kumnunulia vingine au? Nimejenga ila sioni faida ya kuishi kama watoto wangu hawazunguki nyumbani hapa na kelele zao.

Siamini kuzaa nje ovyo ovyo najua madhara yake. Nifanyaje arudi mama Doreen wangu. Amenivumilia mno. Najisikia vibaya sana naishi kama mhuni tu nyumbani. Nifanyeje arudi. Nizeeke mwenyewe au mtu mpya hapana hapana.

Mtakaotukana tukaneni tu, nahitaji njia za kumrudisha.

Yupo kwao
Pole sanaa Seema hujaweka Sababu au kosa ulilomtendea tujue tukushauri vip.

I'll big up kwa msimamo wa hisia zako maana humu kunawazinguaji balaa
 
Back
Top Bottom