Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Mlinzi mkubwa wa watoto ni mama, mwanamke asokuwa na huruma moyoni mwake ndo atasikiliza hasira kuliko matunda ya uterus yake....mtoto ni kitu kingine aisee labda akurupushwe kwa kutaka kuuawa ktk kujinusuru ndo asiweze kubeba mtotoIla hapaswi kukimbia nyumbani Tena na watoto, anaweza kuondoka peke yake hasira zikaisha tukayajenga si kuwasumbua watoto!