Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

Kakaza kishenzi na hana mpango kuna mtu juu hapo kasema akitokea boya mmoja akam sound isha ndio itakuwa kimoja. Na wanawake wakipenda si ndionimetoka tena ndugu nahaha tena kama watoto waliobalehe
Ulimgegeda nani yake kwani?

Ujue ukisema kosa tutajua cha kukushauri make suluhu hazifanani kwa makosa yote.
Kuna makosa yanahitaji maombi, mengine vikao, mengine kuroga, mengine kujipa muda wakati huo kuna mengine mkijipa muda ndio atabanduliwa, mengine yanahitaji utembee na magoti hadi kwao....

Kwakifupi unatupa tabu sisi wataalamu wa ushauri na mahusiano 😁
 
Mwanamke ni mvumilivu mno, lakini akifikia point of no return ni ngumu mno kumshawishi arudishe majeshi.
Ivi Hawa wanawake wanaoliwa na ma ex wao ..ni kwamba waliachwaga wakiwa hawajifika point of no return???
 
Kuna ndoa wamekaa miaka karibia arobain ila wameachana kwa talaka, wasichojua wanaume wanawake huwa tunavumilia maumivu hadi yanapoa tukishaanua inakuwa point of no return.
Vp wanawake wanaondelewa kugawa Kwa ma ex ..ni kwamba hawakufika point of no return.....Ndo maana Bado wanagawa k zao Kwa ma ex ..wakati wameshaolewa?
 
Mkuu kwa wanawake huwa ni tofauti kidogo akiteseka muda mrefu kisha akafanikiwa kuchukua maamuzi kurudi ni ngumu mno
Nimependa sana mrejesho wako, Hornet!

Lkn mbona hukunijibu lile swali langu rafiki angu mzuri?
 
Habari wakuu wa kaya. Iigweee

Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi kunipelekesha.

Nimemkosea mke wangu wa miaka 7 ya ndoa. Miaka 7. Tuna watoto wawili. AMEGOMA KUNISAMEHE AMEONDOKA, NAUMIA KUWAZA KUNA MWANAMME ANAWEZA KUMMLIKI.

Msinishauri nijikaze,siwezi siwezi siwezi kuona kuna mwanaume atakuja kuwa anatambulika kama baba au uncle kwa wanangu, nasema siwezi.

Ameacha kila kitu nyumbani ina maana kuna mtu ataenda kumnunulia vingine au? Nimejenga ila sioni faida ya kuishi kama watoto wangu hawazunguki nyumbani hapa na kelele zao.

Siamini kuzaa nje ovyo ovyo najua madhara yake. Nifanyaje arudi mama Doreen wangu. Amenivumilia mno. Najisikia vibaya sana naishi kama mhuni tu nyumbani. Nifanyeje arudi. Nizeeke mwenyewe au mtu mpya hapana hapana.

Mtakaotukana tukaneni tu. Nahitaji njia za kumrudisha. Yupo kwao

Nafikiri wife yupo sahihi, inaonekana amekuona wewe ni kilaza tu huwezi kushughulikia issue kama mwanaume.

Hili nimeliona hapa umeshindwa kabisa kushawishi watu hapa wakakushauri, unaficha ficha nini sasa, kwani kuna jambo gani jipya hapa duniani?
 
Simpi talaka yoyote hata iweje kwa sababu nyingiii kikubwa wanangu wasipata anko mpya maana waifu nae anavyopenda mchezo wetu wa wakubwa dah
Siku hizi na mimba tunabeba na talaka haijatoka!
Yaniiii kwa kifupi, mwanamke unayemwazia kusubiri talaka ndo akazwe tena
sio mwanamke huyu
-nnayemsoma kwenye mitandao ya kijamii
-ninayshinda nae vicob
-ninayefanya nae kazi ,
-ninayefanya nae biashara,
-ninayesoma nae,
- ninayekutana nae kitchenpart gala, -ninayekutana nae Twiga Cement ananunua tani za mifuko ya cement,
-ninayeimba nae morning praises.

GONE ARE THE DAYS, mwanamke alippkiwa anasubiri RUHUSA YA MWANAUME ILI KUISHI NA KUTIMIZA NDOTO ZAKE ZA MAISHA.

TRUST ME.
 
Umeshaachwa hafu wewe ni mjeuri kweli wake wakiwaheshimu mnawaonaga wajinga hawana option. Nikupe tu pole kwa kweli inabidi uzoee
Like we care, kuwa bila talaka.
Ahhahahahhahhahahahahahaa akae na gamba lake
Na atakapoamua anaweza kwenda enda kuishi na mtu mwingine vile vile na hakuna kitu utafanya

Na anaweza kumtia ndani akienda kumfanyia vurugu.
Sa hiz wanawake wana akili mbovu kama kidogo?
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kuna ndoa wamekaa miaka karibia arobain ila wameachana kwa talaka, wasichojua wanaume wanawake huwa tunavumilia maumivu hadi yanapoa tukishaanua inakuwa point of no return.
Yani mwanamke anaweza kukaa maiaka na miaka.Kimya, analia na kusihi tu.
Siku anaamua kureact, hutaamini ni yule alikuwa anajiliza Liza hapo unajidanganya hana la kufanya.

Aseeh.
 
Asante ndugu asante sana ishu ni tukiwa wote anatakaga sana sasa inakuwaje huko au anavumilia. Jmosi nataka kuktumia ndugu yake ampeleke sehemu kinguvu alafu nizuke
Mpeleke hata hoteli nzuri alale siku moja umuombe msamaha,sio unatuma msg za tigo tu
Kuwa romantic utawin her heart!
 
Vp wanawake wanaondelewa kugawa Kwa ma ex ..ni kwamba hawakufika point of no return.....Ndo maana Bado wanagawa k zao Kwa ma ex ..wakati wameshaolewa?
Hao wanagawa k ili kulipiza waume zao, ila tumetofautiana mimi ex tuachane mazima staki mazoea natafta kitu mpya
 
Like we care, kuwa bila talaka.
Ahhahahahhahhahahahahahaa akae na gamba lake
Na atakapoamua anaweza kwenda enda kuishi na mtu mwingine vile vile na hakuna kitu utafanya

Na anaweza kumtia ndani akienda kumfanyia vurugu.
Sa hiz wanawake wana akili mbovu kama kidogo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume hutesa wake zao na wake huvumilia huku wanawatoa moyoni taratibu huku mwanaume anajua mkewe ni mjinga hana options akishamtoa moyoni ndo ana move on, sasa mwanaume ndo anashtuka na kuanza kulia Lia huku mkewe kashapona maumivu, and it's hard mwanamke aliyevumilia kurudi nyuma. Kinachofanya wanawake wateseke ni wale wasio na kipato tu
 
Back
Top Bottom