Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

π™°πš–πš‹πšŠπšπšŠπš—πš’πšœπš‘πšŠ πš—πšŠ πšžπš•πš’πšŒπš‘πš˜πš–πš”πš˜πšœπšŽπšŠ.
 
Ushauri nzuri huu unafanya kazi ukiuapply
kabisa, mtu mnakuta mmeshajenga na nyumba watoto wanaishi kwa furaha viiugomvi kidogoo tu mtu anabeba watoto anaondoka, na wanawake wengi wa hivi ukichunguza wengi wao utakuta Wana kazi au kwao wanakauwezo!
yaan hapo ukitaka kubembeleza ni wewe ujifanye fala bwege bwege flan.
 
ndugu yangu ondoka mana petrol iatakuhusu punde
 
Usimdanganye mwezio inategemea na kosa. Eti wenye kazi! si mnajijua hamjatulia nyie oeni wasio na kazi basi muwanyanyase mtakavyo..
Ukweli ni kuwa wengi wenye ndoa za wanawake wanao fanya kazi huwa wanakufa na tai shingoni yaan asilimia kubwa ni majanga,
Kabla ya ndoa na hamna watoto huwa mko poa Sana Ila baada ya ndoa na kuwa na watoto hata mapenzi tu ni shida,
si wote Ila wengi wenu ni tabu tupu.
 
Mtokee upya..... Kama kwenye simu, inapokataa ku installs updates on certain apps una uninstal zen un download upya,
 
Ulimgegeda nani yake kwani?

Ujue ukisema kosa tutajua cha kukushauri make suluhu hazifanani kwa makosa yote.
Kuna makosa yanahitaji maombi, mengine vikao, mengine kuroga, mengine kujipa muda wakati huo kuna mengine mkijipa muda ndio atabanduliwa, mengine yanahitaji utembee na magoti hadi kwao....

Kwakifupi unatupa tabu sisi wataalamu wa ushauri na mahusiano [emoji16]
"Kwakifupi unatupa tabu sisi wataalamu wa ushauri na mahusiano "Nimepapenda hapo.
 
Ulifanya kosa gani?? Kosa lako ndio litafanya watu wajue wakushauri utumie njia gani kuomba msamaha.

Sasa wewe kosa ulofanya unaficha utasaidiwaje sasa?
#mficha uzi hazai
 
Ukweli ni kuwa wengi wenye ndoa za wanawake wanao fanya kazi huwa wanakufa na tai shingoni yaan asilimia kubwa ni majanga,
Kabla ya ndoa na hamna watoto huwa mko poa Sana Ila baada ya ndoa na kuwa na watoto hata mapenzi tu ni shida,
si wote Ila wengi wenu ni tabu tupu.
Oa mwanamke wa nyumbani ili akupe papa daily mkuu
 
kabisa, mtu mnakuta mmeshajenga na nyumba watoto wanaishi kwa furaha viiugomvi kidogoo tu mtu anabeba watoto anaondoka, na wanawake wengi wa hivi ukichunguza wengi wao utakuta Wana kazi au kwao wanakauwezo!
yaan hapo ukitaka kubembeleza ni wewe ujifanye fala bwege bwege flan.
Kuwa na kazi au na uwezo sio dhambi na mtu kuwa hana kipato sio ruhusa kumtesa dunia ya Sasa mtabaki kulia Lia, heshimuni ndoa zenu bana na mpebdane kupunguza kuudhiana
 
Ukimuomba msamaha ndiyo unaharibu, huyo atakuwa Ana kazi na anaona anajiweza kuishi na wanawe,
wanawake wengi wenye kazi wakishazaa watoto wawili wanatamani kuwa single mother bila sababu za msingi.
Cha kufanya kuwa kimya na usimtafute hata kidogoo atajiona mjinga atarudi Ila ukizidi kumtafuta na kukuomba masamaha ndiyo kiburi kinamzidi.
Mtoa mada keshasema amemkosea, na inaonekana kakosea mara nyingi, mwanamke akishachoka moyoni mwake na akakutoa kabisa hata awe na dhiki ya namna gani ataondoka tu ilimradi awe na amani....hayo ya kazi unayajua wewe, wapo wanawake wanaondoka hana A wala B, kwao hapasomeki lakini anaamua na hageuki nyuma
 
Shep yake itakuwa siyo ya mchezo, kubwa naona labda kufumania na wengi huwa sivyo ni Mambo ya kuzungumza tu Ila unakuta mwanamke kajawa na kiburi.
 
Kuwa na kazi au na uwezo sio dhambi na mtu kuwa hana kipato sio ruhusa kumtesa dunia ya Sasa mtabaki kulia Lia, heshimuni ndoa zenu bana na mpebdane kupunguza kuudhiana
Ni sawa, Ila mke wangu wa ndoa nimekukwaza narudi nyumbani haupo na watoto na nikagundua upo kwenu na hakuna aliye Nipa taharifa sikutafuti, naenda tu kutoa taharifa polisi ya kupotelewa na mke na watoto na sahau nitakuomba msamaha!
 
Shep yake itakuwa siyo ya mchezo, kubwa naona labda kufumania na wengi huwa sivyo ni Mambo ya kuzungumza tu Ila unakuta mwanamke kajawa na kiburi.
Ndoa ni zaidi ya sura na shape ya mtu, ni zaidi ya uhandsome ndugu kama kweli jamaa kakosea haijalishi habari za muonekano....wamejifunika shuka moja miaka7 na watoto juu! Mangapi wamevumiliana, ni mara ngapi amemkosea,
 
Ni sawa, Ila mke wangu wa ndoa nimekukwaza narudi nyumbani haupo na watoto na nikagundua upo kwenu na hakuna aliye Nipa taharifa sikutafuti, naenda tu kutoa taharifa polisi ya kupotelewa na mke na watoto na sahau nitakuomba msamaha!
Hujaoa unaimagine tu izo situations.....sio rahisi kama unavoandika
 
Vuta kitu cha maana hapo home, na hakikisha anajua, uone kama hata rudi fasta.
Vinginevyo alikua anakutafutia sababu, kuna jamaa yake anamkazaga vizuri tu kuliko wewe goigoi.
 
Ndoa ni zaidi ya sura na shape ya mtu, ni zaidi ya uhandsome ndugu kama kweli jamaa kakosea haijalishi habari za muonekano....wamejifunika shuka moja miaka7 na watoto juu! Mangapi wamevumiliana, ni mara ngapi amemkosea,
Ila hapaswi kukimbia nyumbani Tena na watoto, anaweza kuondoka peke yake hasira zikaisha tukayajenga si kuwasumbua watoto!
 
Hujaoa unaimagine tu izo situations.....sio rahisi kama unavoandika
Nina watoto wanne ndoa Ina miaka 15 yote hayo nimeyapitia,
Mwanamke ukimwendekeza Sana atakupanda kichwani, utambembeleza atarudi kosa kidogoo tena kabeba watoto kaondoka!
Ila akiona kimya mwenyewe atakutafuta.
 
Back
Top Bottom