Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Wengi wanaitikadi kaliiKwani wasabato wakoje mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wanaitikadi kaliiKwani wasabato wakoje mkuu?
Kilicho nifurahisha hapa kwenye hii comment yako sio content, ni namna moderator alivyo like hii comment kumbe behind bars nao ni wadau
Njoo Kigambonino karibu na Hotel kali ya kitalii ya "the overhang. Napenda kukaa sehemu ambazo unasikia kelele za ndege tu kwa mbali nikipigwa na upepo wa bahari. Huwa najihisi niko peponi.Location please....[emoji39][emoji39][emoji39]
Njoo Kigambonino karibu na Hotel kali ya kitalii ya "the overhang. Napenda kukaa sehemu ambazo unasikia kelele za ndege tu kwa mbali nikipigwa na upepo wa bahari. Huwa najihisi niko peponi.
Nimekusoma kipenzi
Hivi hii imekaaje? Mke wangu in mlokoke, ananibania mno wakati wa show, anasema kushikwa kalio ni uhuni, yaani hata kupiga tule tukofi hataki.
Sifuraii kabisa, yaani tunasex kama mazee ya miaka 80 huko
Sasa hapa ndo kale ka usemi "wivu sina ila roho inauma" kanaposhika hatamuMiss you more, where are you..?!
Last warning....Nimesikia daraja limekwenda na maji na pantoni imeishiwa mafuta....
Ntavukaje sasa.....
Kwani huko mvua imeisha...!?
Nimekusoma kipenzi
Subiri nimalize hiki kikao na waandishi wa habari
Will be right back...
Naona kuna vijana wanaota mapembe kabla hawajatahiriwa.....
Ahsante kwa kutetea penzi letu...
Sasa hapa ndo kale ka usemi "wivu sina ila roho inauma" kanaposhika hatamu
Last warning....
Usirudie tena. Kesi za mauaji zinachukua muda mrefu sana.... Will kill for you, you know?Ahah ahaha baaabuuuu
Ligendari mwenyewe Sam orijinale.....
Mwaaah...!
Hivi hii imekaaje? Mke wangu in mlokoke, ananibania mno wakati wa show, anasema kushikwa kalio ni uhuni, yaani hata kupiga tule tukofi hataki.
Sifuraii kabisa, yaani tunasex kama mazee ya miaka 80 huko
Acha uchoyo na ubinafsi. Kitu Kizuri kula na ndugu yako.Sasa hapa ndo kale ka usemi "wivu sina ila roho inauma" kanaposhika hatamu
Usirudie tena. Kesi za mauaji zinachukua muda mrefu sana.... Will kill for you, you know?
Wee bibi kijana wewe mnaminyana nini😂😂Weeeh rekebisha kauli....
Sie wazee wa miaka ya 60 tunaminyana makalio na makende kuongeza amsha amsha kila tuwapo kwenye sebene.
Hizo ni athari za kuveshwa pampazi zimeanza kujionesha.....
Mwenyewe keshasema mlokole,bado unahojiSio msabato huyo?
HahahahaWeeeh rekebisha kauli....
Sie wazee wa miaka ya 60 tunaminyana makalio na makende kuongeza amsha amsha kila tuwapo kwenye sebene.
Hizo ni athari za kuveshwa pampazi zimeanza kujionesha.....