Mke wangu hawezi kutafuta kiki ana mtoto maarufu kushinda wewe - Mose Iyobo

Mke wangu hawezi kutafuta kiki ana mtoto maarufu kushinda wewe - Mose Iyobo

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,440
Reaction score
32,260
Moja kati ya stories zinazotrend katika mitandao ya kijamii leo Jumanne ya January 30 2018 ni post ya Tunda ambapo alipost picha yake katikaukurasa wake wa instagram na baadae Aunt Ezekiel kumjibu kwa kucomment.

Screen-Shot-2018-01-30-at-8.23.07-PM.png



Screen-Shot-2018-01-30-at-8.22.55-PM.png


Baada ya majibizano yaliyokuwa yakiendelea kati ya Tunda na Aunty Ezekiel , Mose Iyobo akaamua kumjibu Tunda kwa kuandika “Ujinga ni kubishana na mtu ambae kashafanya kila kitu ambacho wewe unafanya leo kama marudio unachotakiwa useme tu sina hiyo hela nitalipa siku flani”-Mose Iyobo

“Sio kuanza kuongea ushamba mke wangu awezi kutafuta kiki kwako ana mtoto maarufu kushinda wewe./kingine ben ten ni baba yako aliekuzaa akashindwa kukupeleka shule umeishia kufumuliwa free unakosa laki yakulipa pombe.”-Mose Iyobo

Screen-Shot-2018-01-30-at-8.21.59-PM.png
 
Tunda nae mbona kishanuka huko video zake na kinje zimemwagwa insta leo hadi raha jamani hahahha
 
Sasa hapo mtt anahusikaje.na mkianza kupigana si mtampiga na yy pia.musimdhalilishe mtt la sivyo mtaripotiwa kwenye dawati la jinsia na watoto..
 
Iyobo hana akili kumhusisha mtoto,hivi mtoto akianza tukanwa watamlaumu nani? Watu wengine bana,birthday ya nilan wao wakavalisha mtoto shela sijui walipania kufunika sherehe ya watu
 
Hivi radika anajinsia gani? nimeuliza tu maana nilipomaliza kusoma kote ikabidi nirudi juu uangalia alie leta uzi nikakuta ni picha ya kibenten. haya mambo ya wanaume wa dar huwa yanatia kichefuchefu sana, kwani huyo dansa angenyamaza kimya angeshindwa kudansi? inaonyesha fika kuwa kala hiyo hela ndo maana wanatoana mapovu na mtoto wa kike.
 
Iyobo hana akili kumhusisha mtoto,hivi mtoto akianza tukanwa watamlaumu nani? Watu wengine bana,birthday ya nilan wao wakavalisha mtoto shela sijui walipania kufunika sherehe ya watu
Tunda keshamtukana mtoto kwamba ni most ugly baby in Tanzania.......................
 
huyu demu tunda mzuri ila mbona ana mwandiko mbaaaya hivyo??dah kwel mnyaazi MUNGU hakupi vyote..
 
wote wehu hawa!
laki ni hela ya kutukanana kweli?
 
Back
Top Bottom