Mke wangu huwa anarudi usiku sana, nifanyaje?

Mke wangu huwa anarudi usiku sana, nifanyaje?

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Akitoka ananiacha na watoto na mfanyakazi wa ndani, Naakirudi nashindwa kumkemea, sana sana naishiakumpa pole na pilika. Hauwezi kunishauri kitu nikakuelewa namuelewa sana.

Juzi wakati natoa mpira wa mtoto uvunguni mwa kitanda nikakuta kichwa cha bata kimefunga mdomo na kufuli sijui nini na nilipomuuliza akanambia hizo kacha tu za kimasai je nikweli au ndio nimefungwa mdomo eti wakongwe misumari hii ni kitu gani

Screenshot_20220114-140837~2.jpg


Screenshot_20220114-140919.jpg
 
Akitoka ananiacha na watoto na mfanyakazi wa ndani, Nakirudi nashindwa kumkemea, sana sana naishiakumpa pole na pilika. Hauwezi kunishauri kitu nikakuelewa namuelewa sana. Juzi wakati natoa mpira wa mtoto uvunguni mwa kitanda nikakuta kichwa cha bata kimefunga mdomo na kufuli sijui nini na nilipomuuliza akanambia hizo kacha tu za kimasai je nikweli au ndio nimefungwa mdomo eti wakongwe misumari hii ni kitu ganiView attachment 2080915
Bila shaka wewe utakuwa ni tegemezi kwake ndo maana unakuwa Bushoke wake,, Wala usisingizie uchawi

Tafuta hela mwanaume,, tafuta hela,,
Mwanamke akija night pigaa,, akirudia Tena fukuza,, wanawake ni wengi mnooh!!

#KUMBUKA UKIMWI UPO
 
Akitoka ananiacha na watoto na mfanyakazi wa ndani, Nakirudi nashindwa kumkemea, sana sana naishiakumpa pole na pilika. Hauwezi kunishauri kitu nikakuelewa namuelewa sana. Juzi wakati natoa mpira wa mtoto uvunguni mwa kitanda nikakuta kichwa cha bata kimefunga mdomo na kufuli sijui nini na nilipomuuliza akanambia hizo kacha tu za kimasai je nikweli au ndio nimefungwa mdomo eti wakongwe misumari hii ni kitu gani
Mwambie aache tabia ya kurudi usiku.Akikabwa na vibaka je?Awe anarudi asubuhi.
 
Mwambie aache tabia ya kurudi usiku.Akikabwa na vibaka je?Awe anarudi asubuhi.
Yaani tena aongee nae kwa utararibu kabisa akisisitiza ni jinsi gani anampenda na hataki lolote baya limfike; zaidi yeye na watoto wanamtegemea yeye. Ikibidi arudi saa mbili asbh wakati jua limeshatoka maana saa ingine saa 12 asbh inakua bado giza..
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom