Kiaje?
Kuokota sio lazima umkute kalala barabarani umbebe uende nae, ata kukutana tu na mwanamke hujui kwao wapi? Wazazi wake, ndg zake unaanza kuishi nae tu ..huko ni kuokota, wazungu wenzetu mpaka akwambie"move in with me"ameshajua a lot about you....ona sasa huyo mtu kakaa nae mpaka na mtoto kwann asipeleke mahari akaoa kabisa kihalali na kujua ndg?waliosema cheap z expensive hawakukosea Mana hapo yangemkuta angejua pa kuanzia na ata ndg tukimuuliza kama aliishi nae miaka miwili alimjua lini? Atasema waliendelea kujuana humohumo wakati wanaishi na ndio maana alipogundua ana mabwana it was too late mana alishamuweka ndani so akajipa moyo atabadilika, I knw men thy e not that naive ata yy hizo tabia angezijua kabla hajaishi nae angetoka nduki lakini yeye aliokota akaweka ndani, usikute siku walikutana alienda nae home na ndio hakutoka tena kwake wakawa wanasubiri presumption of marriage iwapitie maisha yaendelee kucheap cheap bila mahari wala ndoa.
hapo mwanzo Mungu akasema na tumuumbe mtu,wakamuumba adam,mwanamke sio mtu,sio yeye alieumbwa na Mungu,,pili Biblia inasema ishini na wanawake kwa akili,ikimaanisha wanawake hawana akili(hayo ni maneno ya Biblia,sio yangu)
Aiseeeee hii ndo shida
Aliyekwambia biblia ilimaanisha wanawake hawana akili nani?
Au umetafsiri kwa akili zako?
Omba Roho Mtakatifu akufunulie maana sio kutoa maana kwa akili ya kibinadamu
Na km sio mtu ni nani basi?

Wachaga kwenye 1 na 2Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake. Nikamkarisha kikao na ndugu wakamwonya kwa tabia zake tukaendelea kuhishi kwa taadhali kubwa.
Baadaye nikapata kazi mkoa mwingine nikamfungulia kijiwe cha biashara maana muda wote aliikuwa akikaa ndani, cha kusikitisha siku niko job kasomba vitu vyote na mwanangu. Baada ya kuwapigia ndugu zake hawakuchukua hatua zozote wakidai hawajui alipo nikasikia yupo kwa mamamdogo wake Dar, kumpigia simu akasema hanitambui hivyo nisimsumbue. Nahitaji mwanangu nishauri nifanyeje kumpata maana ni damu yangu na nampenda sana.
Aisee🙌Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake. Nikamkarisha kikao na ndugu wakamwonya kwa tabia zake tukaendelea kuhishi kwa taadhali kubwa.
Baadaye nikapata kazi mkoa mwingine nikamfungulia kijiwe cha biashara maana muda wote aliikuwa akikaa ndani, cha kusikitisha siku niko job kasomba vitu vyote na mwanangu. Baada ya kuwapigia ndugu zake hawakuchukua hatua zozote wakidai hawajui alipo nikasikia yupo kwa mamamdogo wake Dar, kumpigia simu akasema hanitambui hivyo nisimsumbue. Nahitaji mwanangu nishauri nifanyeje kumpata maana ni damu yangu na nampenda sana.
kwani mahali ulitoa wapi?Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake. Nikamkarisha kikao na ndugu wakamwonya kwa tabia zake tukaendelea kuhishi kwa taadhali kubwa.
Baadaye nikapata kazi mkoa mwingine nikamfungulia kijiwe cha biashara maana muda wote aliikuwa akikaa ndani, cha kusikitisha siku niko job kasomba vitu vyote na mwanangu. Baada ya kuwapigia ndugu zake hawakuchukua hatua zozote wakidai hawajui alipo nikasikia yupo kwa mamamdogo wake Dar, kumpigia simu akasema hanitambui hivyo nisimsumbue. Nahitaji mwanangu nishauri nifanyeje kumpata maana ni damu yangu na nampenda sana.
Hilo nalo neno😁😁Una uhakika ni mwanano?