Mke wangu kaiba vitu vyote ndani kaondoka na mtoto na sijui alipo

Itakuwa unamzungumzia mama yako tu na c vinginevyo.
sijasema nimeandika,
---f-ala sio mtu kama mimi anayeandika mwanamke ni dhaifu kwa defintion.
Ni kweli tena dhaifu kweli kweli
 
Itakuwa unamzungumzia mama yako tu na c vinginevyo.

hafu hata mi nashangaa kuja hapa nakuita wanawake dhaifu kwahyo na mama yake aliye mbeba 9 month ni dhaifu mana dhaifu humzaa dhaifu mwenzie na yeye ni dhaifu
 
Na wewe ni kabila gani?inaonekana ulimkwaza sana dada wa watu ndo mana akakukomesha,pole yako.mtoto atakutafta akikua
 
hafu hata mi nashangaa kuja hapa nakuita wanawake dhaifu kwahyo na mama yake aliye mbeba 9 month ni dhaifu mana dhaifu humzaa dhaifu mwenzie na yeye ni dhaifu

unajua maana ya dhaifu?je ni ajabu kiumbe dhaifu kubeba mimba ?atazaa dhaifu kama ni kiumbe ila lah kama ni mtu
 
mwanamke angekua mdhaifu asingeweza mdanganya adam akala tunda alilokatazwa na baba yake. upo?

kuwa muongo ni dhaifu wa kusimamia ukweli,alikubali mana kulikuwa hakuna dhambi
 
Nini ni kiswahili?

Kuandika kwa ufasaha

Mada inazungumza kuwa mwanamke sio mtu au inazungumza mwanamke aliyeondoka kutoka kwa mazazi mwenzie?

Kati yangu mimi na wewe ni nani anaekwepa mada?

Naona napoteza muda tu hapa

Kila la kheri!

kiswahili ni neno

ufasaha ili iweje uelewa ndo muhimu,ishara zina ufasaha?

mwanamke si mtu ni kiumbe ndo mana kafanya hivyo hence ndo mada.

wewe

nawe pia Eiyer
 
Last edited by a moderator:
unajua maana ya dhaifu?je ni ajabu kiumbe dhaifu kubeba mimba ?atazaa dhaifu kama ni kiumbe ila lah kama ni mtu

najua sana ucpende kudharau wanawake i wonder which kind of human being are u cjawah ona au sikia this is my first time na sio lazima uonyeshe hyo ni weaknes yako tu and its untolerable mh makubwa madogo yana nafuu
 
Hicho kitabj kishafika mwisho ingia kwenye shelf uchek kingine... safari hii chukua chenye kurasa nyingi usikimalize mapema...
 
najua sana ucpende kudharau wanawake i wonder which kind of human being are u cjawah ona au sikia this is my first time na sio lazima uonyeshe hyo ni weaknes yako tu and its untolerable mh makubwa madogo yana nafuu

unajua sana kuhusu nini?dharau ipo wapi hapo?
keep wondering.
Kipimo cha kujua nipo weak ni nini?
give me a watertight proof y is untolerable.FATA NAFUU MAKUMBWA HUWEZI
 
hafu hata mi nashangaa kuja hapa nakuita wanawake dhaifu kwahyo na mama yake aliye mbeba 9 month ni dhaifu mana dhaifu humzaa dhaifu mwenzie na yeye ni dhaifu

nachukia sana mnaojidefend kwa kuwataja mama zetu.
hii kitu inaudhi sana
 
Kwahiyo wewe ukitaka mwanamke unamtoa ubavuni mwako? Nyie ndo wale wanaosoma kitabu Kimoja tu maisha yao yote. Jaribu kufungua akili yako, la sivyo ufahamu wako ni sawa na Ngedere tu.
 
Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake. Nikamkarisha kikao na ndugu wakamwonya kwa tabia zake tukaendelea kuhishi kwa taadhali kubwa.

Baadaye nikapata kazi mkoa mwingine nikamfungulia kijiwe cha biashara maana muda wote aliikuwa akikaa ndani, cha kusikitisha siku niko job kasomba vitu vyote na mwanangu. Baada ya kuwapigia ndugu zake hawakuchukua hatua zozote wakidai hawajui alipo nikasikia yupo kwa mamamdogo wake Dar, kumpigia simu akasema hanitambui hivyo nisimsumbue. Nahitaji mwanangu nishauri nifanyeje kumpata maana ni damu yangu na nampenda sana.

Huu wimbo unakuhusu sana wewe.

Last edited by a moderator:
Hakufai mwache labda na mtoto si wako jaribu chunguza vizuri

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake. Nikamkarisha kikao na ndugu wakamwonya kwa tabia zake tukaendelea kuhishi kwa taadhali kubwa.

Baadaye nikapata kazi mkoa mwingine nikamfungulia kijiwe cha biashara maana muda wote aliikuwa akikaa ndani, cha kusikitisha siku niko job kasomba vitu vyote na mwanangu. Baada ya kuwapigia ndugu zake hawakuchukua hatua zozote wakidai hawajui alipo nikasikia yupo kwa mamamdogo wake Dar, kumpigia simu akasema hanitambui hivyo nisimsumbue. Nahitaji mwanangu nishauri nifanyeje kumpata maana ni damu yangu na nampenda sana.

Hayatuhusu. Haya ni maswala yako binafsi.Unaonesha udhaifu wako hapa.
 
nachukia sana mnaojidefend kwa kuwataja mama zetu.
hii kitu inaudhi sana

nyie ndo mnauzi unakujaje kuita mwanamke dhaifu tena una generalize eti dhaifu mna bore na kukera unaposema hvo it means ni wote nashindwaga kuelewa mwanaume wa aina hi hata aibu hamuoni eti dhaifu inabid kuelewa we run the world sasa hzo pointles zenu zinakera acheni dharau
 
Back
Top Bottom