Mke wangu kaiba vitu vyote ndani kaondoka na mtoto na sijui alipo

Piga chini kausha kabisa endelea na mitikasi yako tu! Huyo atakuja tu anafikili hapa dar mchezo atachie sisi tuliopazoea,
Cha pili mtoto hagombewi kama ni damu yako atakutafuta hata ukubwani we poteza kabisa hata usihangaike,
Mwanao ni mwanao tu yuko mikonino salama mwa mama yake we endelea na kazi zako kama kakuacha salama ivo vitu vya ndani mbona simple tu!
Nasema ivo mi pia nilwahi kuibiwa vitu na girl friend wangu, akatokomea, nilijifanya boya sikumtafuta hata kidogo. Baada ya miezi minne alirudi akiomba msamaha na kurudisha vitu vyangu! Nilichomwambia nimekusamehe ila kaanzishe maisha yako na hivo vitu ulivo chukua...!
 

Nimeona ndo maana nikamleta mbele yako baba Paroko

Cc: thinky
 
Last edited by a moderator:
hapo mwanzo Mungu akasema na tumuumbe mtu,wakamuumba adam,mwanamke sio mtu,sio yeye alieumbwa na Mungu,,
Naomba ushahidi tafadhali

Ukikosa watake radhi wanawake wote wa JF!
pili Biblia inasema ishini na wanawake kwa akili,ikimaanisha wanawake hawana akili(hayo ni maneno ya Biblia,sio yangu)
Wakati unaandika haya ungetumia hata visigino vyako kufikiri ingekuwa afadhali!
 
hapo mwanzo Mungu akasema na tumuumbe mtu,wakamuumba adam,mwanamke sio mtu,sio yeye alieumbwa na Mungu,,pili Biblia inasema ishini na wanawake kwa akili,ikimaanisha wanawake hawana akili(hayo ni maneno ya Biblia,sio yangu)

waambie na huyu mropokaji Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Machameee du kama napaona vile njia panda.lambo.mfoni.nshara. makoa. kalali. kncu. machame Hosp kyalia.kati ya hizo kwao ni wapi tuanze kufanya udukuzi fasta. poleeeee
 
Unajua kusoma?

Hebu tazama hapa chini .....

Nimesema hafahamiki nikimaanisha Mama Mdogo hamjui hao ndugu wengine sifahamu ni watu gani inawezekana ni watu baki tu either mabinamu au watu wengine wa rika lao,kwasababu hawa inaonekana walikuw wanaishi kihuni tu...angukuwa anafahamika mama mdogo asingejibu vile

Alafu mimi najua kusoma Bro,ungeniuliza kama nimeelewa.
 
Kuna muda mwanadamu sijui anafikiri kwakutumia nn kama mtu hakutaki yanini kuendelea kumng'ang'ania alishaonesha dalili za kutoridhika kuwa na wewe tangu mwanzo ndiomaana hakujali maumivu yako .Kukaa au kuishi na mtu usiye na hisia nae ni mateso.
Na inavyo onekana hukumuoa huyo mtu officially ndio maana hata huo mamake mdogo anasema hakujui. Wanaume ndo mjifunze kitu hapa
 
Naomba ushahidi tafadhali

Ukikosa watake radhi wanawake wote wa JF!

Wakati unaandika haya ungetumia hata visigino vyako kufikiri ingekuwa afadhali!

aliyeumbwa mwili mzima na aliyetokana na kipande cha binadamu nani mtu nani kiumbe?tofautisha kiumbe na mtu
 
hebu tupia kapicha kake inawezekana yupo huko mtaani kwetu
 
Kweli damu yangu maana anatabia na sura yangu hapo sijaibiwa najihamin wadau
 
Ni wazi mna misunderstanding nyingi hapo kati umeziskip

Mtoto kama bado mdogo huoni ana haki ya kua nae amlee na vitu mwachie vimsapoti kuanza maisha mapya kiroho safi.

Labda uchunguze tu alipo ili uweze kuprovide hela za matumizi lakini sio umchukue
 
aliyeumbwa mwili mzima na aliyetokana na kipande cha binadamu nani mtu nani kiumbe?tofautisha kiumbe na mtu

Inawezekana najadiliana na mtu mwenye tatizo kubwa sana la kufikiri

Kiumbe sio mtu?

Hebu nipe maana ya hayo maneno yote mawili!
 

Kwanza nakushauri rekebisha hayo uliyoandika, yaandike kwa Kiswahili, halafu ntakupa ushauri kuhusu huyo hawara yako.
 
Kweli damu yangu maana anatabia na sura yangu hapo sijaibiwa najihamin wadau

Sura yako unaijua wewe?

Inaonekana wewe ni mdogo sana kiumri

Dogo sikiliza,hebu achana na mambo ya kuishi kwenye zama za mawe
Kuna vipimo vya kuthibitisha mtoto ni wako

Nenda kapime ujue
Inawezekana mtoto kapelekwa kwa baba yake halafu wewe unakuja kulalama hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…