Mke wangu kaiba vitu vyote ndani kaondoka na mtoto na sijui alipo

^^
A woman is a lifetime project that the universe gave to Man
^^
 
Kwanza nakushauri rekebisha hayo uliyoandika, yaandike kwa Kiswahili, halafu ntakupa ushauri kuhusu huyo hawara yako.



Msaidie kwanza maana anamachungu ya kumpoteza mtoto wake, usiwe kama kifimbo cheza
 
Inawezekana najadiliana na mtu mwenye tatizo kubwa sana la kufikiri

Kiumbe sio mtu?

Hebu nipe maana ya hayo maneno yote mawili!

Hata mbuzi ni kiumbe, ila mbuzi ni mbuzi. Kiumbe ni term universal, mbuzi, njiwa, binadamu wanaangukia ndani yake
 
miss chaga hivi wamachame na wachaga ni "wamoja"?!

Wachanga ni kabila kama ilivyo wapare. Sukuma. Wamasai atc sasa ukisema wachaga wapo Wa kutoka sehem mbalimbali machame.rombo. uru kishumundu.marangu. tukitoa maeneo watokapo kwa ujumla tunawaita wachaga.mfano wapare ni ujumla wa kabila (mwulize mshara)ila wamegawanyika wapo Wa same. ugweno. usangi etc the same tu makabila mengine mtafute Masai Dada wapo wamasai Wa engaruka.loliondo. ngaramtoni.oldonyosambu. lolkisale.etc
 
Last edited by a moderator:
Mwanzo tulipofika kwao na ndugu kujitambulisha wakadai mahali baadaye kwanz tufunge ndoa ila baada ya kugundua Tania zake sikufunga naye ndoa tukaishi hivyo mpaka ananiibia
 

Asante kwa kunielewesha nilikuwa Gizani
 

We kwa hiyo kama ni kiumbe na si mtu you have to know kwamba kiumbe chaweza kuwa kuku paka mmoo. hvyo nanyi hampo sawa kwenye halmashauri zenu za vichwa kuishi na viumbe na sio watu kama ninyi😉😛
 
Last edited by a moderator:
Uliishia darasa la ngapi?

nani kakuambia elimu ni darasani ,kweli mtumwa mwone huruma
nibora ufikirie na wewe kitu kuliko kukariri bongo za watu via books without selfanalysation.
 
Hata mbuzi ni kiumbe, ila mbuzi ni mbuzi. Kiumbe ni term universal, mbuzi, njiwa, binadamu wanaangukia ndani yake

Hii post yangu hapa chini uliisoma?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…