Kuoa ni nini?
nani kakuambia elimu ni darasani ,kweli mtumwa mwone huruma
nibora ufikirie na wewe kitu kuliko kukariri bongo za watu via books without selfanalysation.
akikujibu unishtue!!!!!!!!!!!!!
1. Mwanzo 1:26.1. Naomba ushahidi tafadhali
Ukikosa watake radhi wanawake wote wa JF!
2. Wakati unaandika haya ungetumia hata visigino vyako kufikiri ingekuwa afadhali!
Huyo hawara aliye-sepa na mtoto.
katolewe kwanza mapepo ndio tuje tubishane
Hii post yangu hapa chini uliisoma?
1. Mwanzo 1:26.
Kisha Mungu akasema"Tumfanye mtu kwa mfano wetu,kwa sura yetu,atawale samaki wa baharini,ndege wa angani,wanyama wa kufugwa,dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo"
Mwanzo 2:7-8. "Basi mwenyezi Mungu akamfanya mwanaume kwa mavumbi ya udongo,akampulizia puani pumzi ya uhai,na huyo mwanaume akawa kiumbe hai. 8. Kisha Mungu akapanda bustani huko edeni,upande wa masharki na humo akamweka mwanaume aliemuumba"
2. 1 petro 3:7. "waume ishini na wake wenu kwa "akili".....
Ngoja nkapike mie mmachame nsije kufukuzwa
We kwa hiyo kama ni kiumbe na si mtu you have to know kwamba kiumbe chaweza kuwa kuku paka mmoo. hvyo nanyi hampo sawa kwenye halmashauri zenu za vichwa kuishi na viumbe na sio watu kama ninyi😉😛
Unajua nilikuuliza nini?
Hua sibishani natetea kilichopo na si mfausi wa uwongo,unalijua pepo vema naelewa mana lilikudanganya na ukaliti ,nani mwenye pepo hapo?
umesikia mama yangu ni me ,habari ndo hiyo nyie sio binadamu bali sehemu ya
Majibu yako yote nimejibu Bro...
Hua sibishani natetea kilichopo na si mfausi wa uwongo,unalijua pepo vema naelewa mana lilikudanganya na ukaliti ,nani mwenye pepo hapo?
Sijasema hujanijibu bali nimekuuliza kama unakijua nilichokuuliza
Kijana vipi?
Hebu nenda kakisome upya nilichoandika!
aliyeumbwa mwili mzima na aliyetokana na kipande cha binadamu nani mtu nani kiumbe?tofautisha kiumbe na mtu
Wacha jeuri kijana. .. km si hiko unachokiita kiumbe dhaifu ww ungetokea mlango gan kuliona jua?
Sijaona mahali Mungu amesema kuwa mwanamke sio mtu
Sijaona mahali ambapo Mungu amesema kuwa mwanamke hana akili!
Aah!!pole Bro
Nimeelewa sasa samahani sana