sijasema nimeandika,
---f-ala sio mtu kama mimi anayeandika mwanamke ni dhaifu kwa defintion.
Ni kweli tena dhaifu kweli kweli
Itakuwa unamzungumzia mama yako tu na c vinginevyo.
hafu hata mi nashangaa kuja hapa nakuita wanawake dhaifu kwahyo na mama yake aliye mbeba 9 month ni dhaifu mana dhaifu humzaa dhaifu mwenzie na yeye ni dhaifu

mwanamke angekua mdhaifu asingeweza mdanganya adam akala tunda alilokatazwa na baba yake. upo?
Nini ni kiswahili?
Kuandika kwa ufasaha
Mada inazungumza kuwa mwanamke sio mtu au inazungumza mwanamke aliyeondoka kutoka kwa mazazi mwenzie?
Kati yangu mimi na wewe ni nani anaekwepa mada?
Naona napoteza muda tu hapa
Kila la kheri!
unajua maana ya dhaifu?je ni ajabu kiumbe dhaifu kubeba mimba ?atazaa dhaifu kama ni kiumbe ila lah kama ni mtu
najua sana ucpende kudharau wanawake i wonder which kind of human being are u cjawah ona au sikia this is my first time na sio lazima uonyeshe hyo ni weaknes yako tu and its untolerable mh makubwa madogo yana nafuu
Itakuwa unamzungumzia mama yako tu na c vinginevyo.
hafu hata mi nashangaa kuja hapa nakuita wanawake dhaifu kwahyo na mama yake aliye mbeba 9 month ni dhaifu mana dhaifu humzaa dhaifu mwenzie na yeye ni dhaifu
Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake. Nikamkarisha kikao na ndugu wakamwonya kwa tabia zake tukaendelea kuhishi kwa taadhali kubwa.
Baadaye nikapata kazi mkoa mwingine nikamfungulia kijiwe cha biashara maana muda wote aliikuwa akikaa ndani, cha kusikitisha siku niko job kasomba vitu vyote na mwanangu. Baada ya kuwapigia ndugu zake hawakuchukua hatua zozote wakidai hawajui alipo nikasikia yupo kwa mamamdogo wake Dar, kumpigia simu akasema hanitambui hivyo nisimsumbue. Nahitaji mwanangu nishauri nifanyeje kumpata maana ni damu yangu na nampenda sana.

nachukia sana mnaojidefend kwa kuwataja mama zetu.
hii kitu inaudhi sana