Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
i cant keep wondering stu.. kipimo chako ni kuongea nonsense za kizembe kama hyo point uliyo mention earlier una taka proof gani wakati unajua we unatetea upuuzi tu afu arguing with a person who doesnt understand issues in three dimensions is wastage of timeunajua sana kuhusu nini?dharau ipo wapi hapo?
keep wondering.
Kipimo cha kujua nipo weak ni nini?
give me a watertight proof y is untolerable.FATA NAFUU MAKUMBWA HUWEZI
i cant keep wondering stu.. kipimo chako ni kuongea nonsense za kizembe kama hyo point uliyo mention earlier una taka proof gani wakati unajua we unatetea upuuzi tu afu arguing with a person who doesnt understand issues in three dimensions is wastage of time
kumbe una argue
kwahiyo wananyakuliwa,wanavutwa,wanaitwa,wanatekwa au wanaletwa?
nadhani mwanamke wako umenyakua
na nikamlaaaa
Una uhakika ni mwanano?
Kama barabarani sio mahali salama pa "kuokota" wanawake wapi salama pa kuwaokota?
Hivi wanawake wanaokotwa?
Aisee watake radhi dada zangu dogo
Laa sivyo patachimbika hapa!
hapo mwanzo Mungu akasema na tumuumbe mtu,wakamuumba adam,mwanamke sio mtu,sio yeye alieumbwa na Mungu,,pili Biblia inasema ishini na wanawake kwa akili,ikimaanisha wanawake hawana akili(hayo ni maneno ya Biblia,sio yangu)
Inawezekana najadiliana na mtu mwenye tatizo kubwa sana la kufikiri
Kiumbe sio mtu?
Hebu nipe maana ya hayo maneno yote mawili!
Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake. Nikamkarisha kikao na ndugu wakamwonya kwa tabia zake tukaendelea kuhishi kwa taadhali kubwa.
Baadaye nikapata kazi mkoa mwingine nikamfungulia kijiwe cha biashara maana muda wote aliikuwa akikaa ndani, cha kusikitisha siku niko job kasomba vitu vyote na mwanangu. Baada ya kuwapigia ndugu zake hawakuchukua hatua zozote wakidai hawajui alipo nikasikia yupo kwa mamamdogo wake Dar, kumpigia simu akasema hanitambui hivyo nisimsumbue. Nahitaji mwanangu nishauri nifanyeje kumpata maana ni damu yangu na nampenda sana.
We ndo uelewi biblia kabisaaa...ishini na mwanamke kwa akili that statement z powerful meaning mwanamke ana akili sana usipoishi nae kwa akili atakuchanganya...jama huyi jamaa hakuishi na huyo mdada kwa akili sasa...umeona huyo dada alichifanya?
kwanini akuibie?
ulikuwa unampa huduma zote au ulimtelekeza?
ukafka huko ulipohamia ukawa unaendlea na mambo yako?ukamwacha kama ulivyoacha makochi unayodai ameiba! toa boriti kwanza jichoni mwako,
wanawake huwa tuna huruma na upendo ila ukimchefua mwanamke akasema ah!
utajuta
Hata mimi mkuu nimeshangaa kumbe mwananke sio ntu kaaazi kweli kweli. Back to topic pole sana mkuu mtoa mada kwa masahibu yaliyokukumba muombee tu atarudi.mwanamke si mtu ni kiumbe dhaifu[/QUO
Hii naisikia leo leo!!ATi mwanamke sio mtu?????:thinking:
Picha ilishaishia hapa, yaani uliharibu kuanzia hapa.Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame
Mimi ni mdada ila nakubali ndio kuna wengine wanaokotwa kabisaaaa