Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
mlishaambiwa simu ni kama moyo kila mtu ana wa kwake hamsikii, haya mambo yamevuruga wengi sana , ndiomaana ndoa nyingi za miaka hii hasa hizi za isidingo hazidumu kabisaaaa, pole sana weka password hadi za kunusa vinginevyo itaendelea kula kwako, hata wewe iwe marufuku kushika simu yake, utakuja kunishukuru baadaye