Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Yaani ni kitu gani ambacho alisahau kunichunguza wakati wa uchumba Hadi anakuja kunichunguza ndani ya ndoa ....? Yaani anatafuta nn hasa ambacho hakijui kwangu.....?Mueleweshe tu ataelewa ila unavyoendelea kukaa kimya na kumuignore ndo unazidi kumzidishia kinyongo, na kama ni mtu wa visasi ataanza kuwafikiria watu wengne wanaomtaka! Just be humble mueleweshe m bembeleze vizuri atakaa sawa.
Sawa ngoja nijaribu"Wacha moto uwake ukimaliza utazima wenyewe" hapo ndipo unapofeli mkuu.
Bro wanawake wengi ni wagumu kusahau, hiyo text ita-circulate kichwani kwake miaka yote na kwa kiasi fulani ile roho ya uaminifu kwako imeshakata. Kifupi anaamini umetembea na Beatrice. Unavyokaa kimya bila kumpa ukweli wa mambo kuna hatari ya yeye kufanya revenge akakucheat na kijana ambae amekua akimsumbua sumbua hapo nyuma bila ww kujua na mwisho wa siku ufike hapa kutuomba ushauri ukiwa umepanic.
My take: kama hampo kwenye mahusiano na huyo Beatrice, jaribu kumkutanisha wife wako na huyo binti huku ukimueleza ukweli kua mahusiano yenu ni ya kibiashara. Mfanye mkeo awe na amani na asije kuhisi unamsaliti. Hii itakuweka huru zaidi.
Siteseki Ila ni Mambo ya kijinga Sana ... Kupoteza amani ya familia kwa mambo ya kijinga tu na kuhisiaNaona km na wewe unateseka tena kumzidi wife,, mada mia mia shida nini kachepuke na Beatrice ili umtie adabu wife[emoji23][emoji23]
Halafu msiwe mnatuunganisha wanawake wote kwenye upuuzi wa wake zenu hatufanani haroo
Baadae tukianza kumcharazia mkewe atakimbilia jeiefu,, wanawake Wana visasi sana mkuu heri aongee nae kwa busara amweleweshe Hali ilivyo Ili moyo wa mtoto wa watu uwe na amaniqWe fanya sehemu yako sio kujijibu et ana majibu tayar, we mweleweshe na ushahidi wote mpe, asipo elewa sasa hyo n case nyingine, Ila wewe unakua umeshafanya unacho paswa kufanya
Ila kukaa kimya means unamuonyesha ubabe yaan you don't care liwalo na liwe, sasa hayo sio mapenzi.
Chukua jukumu Mzee mpe amani, n mkeo.
Mueleweshe mkeo,, akuelewe humu hatukusaidii chochote zaidi ya kukuchora tu,, ndo maana huwa uko mchungu kwa wanawake kumbe ni stress za wife,,Siteseki Ila ni Mambo ya kijinga Sana ... Kupoteza amani ya familia kwa mambo ya kijinga tu na kuhisia
The day mnanichalazia na ikawa confirmed .... Aisee ndio siku nitakayo fungulia mbwa ...nitawatoa mbwa wake zenu Hadi kiamaBaadae tukianza kumcharazia mkewe atakimbilia jeiefu,, wanawake Wana visasi sana mkuu heri aongee nae kwa busara amweleweshe Hali ilivyo Ili moyo wa mtoto wa watu uwe na amaniq
Sasa hapo unamuelewesha nn mtu ambae kila utakacho muomba jibu ni kamuambie BeatriceHuwa kuna kaupumbavu flan kichwan kakujiona mwanaume siwez kujishusha kumuelewsha mwanamke ambako kanapelekea ndoa/mahusiano mengi kuvunjika kwa mambo ya kijinga kabsaa.
Endelea kumuangalia tu pasipo kujua unaizika ndoa yako mwenyewe kwa kujiona una time ya kujibishana nae wakati ni jambo la kueleweshana tu.
Hatari mkuu kuvutia sigara shelMa-legendary kesi Kama hizo huwa tunamaliza papo kwa hapo...hasa kama sio za michepuko
.....ulitakiwa upige hiyo namba hapo hapo na hasira zake ukimuuliza Beatrice kama mzigo wake umefika na pia kujifanya unataka kuongeza...
Kama sio mchepuko mazungumzo lazima yawe ya heshima. Kama mchepuko usijaribu hii mbinu,unaweza jibiwa "Halloo baby......'
Ukachochea gesi kwenye moto.
Hapana hii ni wiki Sasa na haijawahi tokea na ni Kama kitu kigeni kwake ndio maana kina mtesa.Mueleweshe mkeo,, akuelewe humu hatukusaidii chochote zaidi ya kukuchora tu,, ndo maana huwa uko mchungu kwa wanawake kumbe ni stress za wife,,
sasa unategemea akujibu kitu gani na haujmkalisha chini kumwambia huyo Beatrice ni nani?Sasa hapo unamuelewesha nn mtu ambae kila utakacho muomba jibu ni kamuambie Beatrice
Sawa ngoja nifanye hivi .... Maana amani imetoweka home naweza Rudi nikakuta watu wanafuraha Ila wakiona sura yangu kimya kinatawala zaidi ya mtoto kuja kunipiga story na kunishangiliaFanya hivi.. mpe mkeo namba ya betty mwambie betty anahusika na mauzo ya bidhaa kwa mkopo.. ajifanye anahitaji huduma halafu maswaali yake yote atajijibu huko kadiri atavyozidi kuwasiliana nae