Mke wangu kajikuta FBI kwa bahati mbaya

Jamaa una ego flani kama wakulya hivi yaani unajiona mwamba kinouma kwa mwanamke, afu ukisema asikague simu yako hapo mwanamke mwenye akili lazima aweke kiulizo kwanini hivyo? Ukiona umeoa cha muhimu ni kufanya kila jambo kwa umakini mkubwa
Maisha ndio yanatufanya watu tuwe hivyo mzee
 
Sawa aisee ngoja na hii njia niiweke kwenye plan
 
Hapana hii ni wiki Sasa na haijawahi tokea na ni Kama kitu kigeni kwake ndio maana kina mtesa.
Hata wewe unateseka Tena kuzidi yeye,, na si wiki hii tu jifatilie mada zako Ni km una hasira na wanawake nk,,, hata hivyo shughuli yangu imeishia hapa,,
 
Hata wewe unateseka Tena kuzidi yeye,, na si wiki hii tu jifatilie mada zako Ni km una hasira na wanawake nk,,, hata hivyo shughuli yangu imeishia hapa,,
Sasa Kama Nina hasira na nyie mbona nawanyandua Sana sasa
 
Endelea kujichimbia kaburi kwa kujifanya mjanja ukweli unao wewe halafu unamsumbua mtoto wa wenyewe huku unachekacheka kama mwehu
 
Ili isionekane kweli ni mchepuko ungemueleza mapema nadhani angeelewa na mambo yangekaa sawa.
 
Ifikie hatua ndoa zote zife maana zote zimejaa maigizo kila mwanaume awe huru na wanawake wote wawe huru kuingizana utumwani sio poa mmoja akiondoka huzuni akifa ni full simanzi tunaendekeza kufungana ndio maana tunateseka leo ukisex na mwanamke anaanza kukuuliza kama hutamuacha
Wanaumeeee!!!! Ndoa zilishafeli hongereni mlio single sis tuko utumwani huku ndoa hazina amani!!
 
Kaa chini mweleweshe unajisifia huwezi kusolve mwanaume mzima

Mwamba unazinga sasa subiri utombewe
Akigongewa na yeye anagonga kwingine issue inaishia hapo nyie endeleeni kunyenyekea mbususu mtakufa mmeinama mkichungulia kam mnatombewa au la!
Ishi maisha yako achana na mtu baki hawanaga shukrani sio wanawake sio wanaume Dont try to please any body be yourself
Rafiki au mpenzi akitaka aje kwako na mkubaliane equally be slave to none!!
 
Tulishasema kwenye kikao inabidi tuwe na simu mbili


Moja smart na moja ya button ndogo ambayo mke haijui
 
We nae ww ni tatizo..... Kwani ukimwambia ni Moja, mbili, tatu utapungukiwa nn..... Jifunze kujishusha
 
Anakumbuka namna alivyokuwa anawachuna wanaume kabla hajaolewa. Ni kweli wanawake wanamaliza pesa Ila anakuonea kwahiyo mueleweshe
 
How low can you go down , jus for the sake of protecting marriage !!
Kumchukua na kumsimulia mtu asiye ijua ya ndoa yenu ati aje aelezee mkanganyiko uliotokea its a big ,no no !
Ita mshenga au mzazi wake mmoja msimulie story kama ilivyo , mkeo ataitwa huko na kuelezewa ,kesi inaisha .
 
Usimwambie wife wala Beatrice chochote. Njoo kwangu unieleze yote upate pumziko la moyo🙈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…