Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Pole zako ila kama ni kweli hakuna haja ya kuogopa ni kusimamia ukweli wako tu, kama vipi mwambie Jamaa aliyekuagiza aje achukue mzigo wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukute mwana aliekuagiza mkewe na mkeo pia ni marafiki, je umuangishie jumba bovu mwana ?hapana itaonekana ndio michongo yenu wote na mwanaKama ilivyo jieleza hapo juu mimi ni mtumishi wa afya katika zahanati fulani, mwezi uliopita mkewangu alienda kwao kutokana na matatizo fulani na mimi nilikuwa ndio naanza likizo.
Kunasiku jamaa mmoja aliniomba tu nimchukulie Condom atazipitia maana ilikuwa ni mda wa kufunga zahanati, baada ya hapo jamaa hakupita na mimi nikwa nimejisahau kama kuna Condom.
Likizo ilianza nikaondoka huku mke wangu akijiandaa kurudi, si akarudi hiyo leo ile anaingia ndani sianakutana na Condom bhana, dah akanipigia sim nimeshindwa hata nimjibu nini hapa maana hato niamini hata nikimwambia ukweli [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]