Mke wangu kakuta condom ndani

Pole zako ila kama ni kweli hakuna haja ya kuogopa ni kusimamia ukweli wako tu, kama vipi mwambie Jamaa aliyekuagiza aje achukue mzigo wake.
 
Ukute mwana aliekuagiza mkewe na mkeo pia ni marafiki, je umuangishie jumba bovu mwana ?hapana itaonekana ndio michongo yenu wote na mwana
 
Mwambie ulizichukua zikusaidie kujipiga selfie.. hahah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…