Mke wangu kaniambia nina kibamia pia uume wangu hausimami vizuri naomba msaada

mzungu wapink

Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
80
Reaction score
114
Nawasalimu wataalam na wasio pia

Mimi ni kijana wa miaka 30. Sio handsome kitendo kilichopelekea kua sitakwi na wanwake kitaani so nikawa najilipua mwenyewe toka nilivyobalehe mpaka leo.

Nimebahatika kuoa kimagumashi hivo hivo sababu nina kisu na nimepata watoto watatu. Katika maisha yetu sijawahi kumkojolea mke wangu bao mbili.

Hua napiga moja ambalo nalitafuata kwa masaa hata mawili hadi matatu na kuna wakati sipigi kabisa yaani namkojoza yeye tu alafu tunalala na nikishusha tu mzigo basi babu analala akija kuamka anakuwa na nguvu nyingi halafu nasikia maumivu kwenye urethra. Nimesahau kusema utotoni niliugua kichocho kwa miaka 7

Hivi Mwaka 2016 wife akaanza kurukaruka mpaka jana akaamua kunichana kuwa uume wangu haumtoshi halafu hapendi ile hali ya kuto kukojolewa.

Anadai sababu tuna watoto hapendi kuwaumiza so nitafute solution ya tatizo otherwise ata give up

Na tatizo sio kuwa dick ni ndogo ila haisimami vizuri kwahiyo haitanuki vizuri kumsugua kuta zake
Amesema amevumilia sababu ya upendo na watoto ila angesepa.

Nipo hapa kujua kama natibika au nimruhusu aende maana naumia anavyo ni cheat an sasa amekuwa kama ameathirika kisaikolojia yaani anapigwa hovyo seems like kuna kitu anatafuta na hakipati.

Tatizo no 1 nachelewa kukojoa au sikojoi kabisa

2 shahawa chache

Uume unasinyaa katikati ya game

Na wakati mwingine hasimami ndindindi

4 huwa sijisikii hamu hata week

Karibuni mnusuru ndoa waungwana

Sent by iOS
===
MAONI YA WADAU

===
===
 
DNA inasemaje kuhusu hao watoto?

Kama niwako basi ishi ukiamini mwanamke HARIDHIKI!!

Kama sio wako chukua toyo mpe laki aweke wese la ela yote na kidumu cha ziada mwambie akupeleke mbuga ya wanyama iliyo karibu na ulipo na atembee katikati ya mbuga mpaka tank likauke abakiwe na kidumu tu afu mwambie akushushe arudi zake!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vijana too much suicide/self/nyeto ni hatari kwa afya...bora utafute hata mabeki 3 uruke nayo tu..kuliko kuja kuadhirika ukija kuowa kama mwana hapa..hela anayo lakini yupo kwenye ndoa akiwa hana furaha...

CHAPUTA ifutiwe usajili inapelekea vijana kuadhirika kwenye really relationships.....
 
harder king,
Watoto Sina mashaka cause tulifanya tuming kuwapata Yani tulitegesha tarehe then in copy zangu kimuonekano dna cjafika uko



Sent by iOS
 

Your comments hurts me a lot bro
Sijahadhirika sbb hakuna anayejua zaidi yetu sisi wawili then we we Pia hunijui Mimi duo khanithi but am addicted to something which solution ipo seeking of tiba sio vijembe kebehi ma pang’ang’a nyingi


Sent by iOS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…