Mke wangu kaniambia nina kibamia pia uume wangu hausimami vizuri naomba msaada

Mke wangu kaniambia nina kibamia pia uume wangu hausimami vizuri naomba msaada

Sikiliza ndugu, utakua na tatizo la kisaikolojia na pima hormon... Nenda muhimbili kama upo dsm au hospitali yoyote kubwa yenye kitengo cha urology utapatd matibabu na tatizo litapotea.. Ila pia uache masturbation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Anza na yafuatayo
Kila asubuhi fanya zoezi la kukimbia angalau nusu saa
Pili siku ambazo hukimbii ruka kamba
Fanya zoezi kwa siku tano kwa wiki.
Zingatia kula dona, mboga za majani na matunda
Punguza unywaji wa soda! Baada ya mwezi utaona mabadiliko makubwa. Asante
 
Tumia Mundende, vumbi ya kongo, al kasusu nk...acha nyeto na uanze mazoez mepesi unaokoa ndoa yako mapema tu...
 
Tafuta mizizi ya mlonge mibichi chemsha kama vikombe viwili au tatu!!!kunywa kama chai asubuhi na jioni siku zote hadi tatzo likiisha!!!!UHAKIKA MKUU!!!KAMA HUJAELEWA NI PM!!!
 
Pole sana kaka, jitahidi kufanya hayo uliyoelekezwa huwenda yakakusaidia na ukaokoa ndoa yako.
 
Std 1 to 7 noliponea Dawa za msaada walikuja shuleni lain urethra haikuacha kuuma nikikojoa au nikitomba bao lapili


Sent by iOS
Nikiwa katibu mkuu wa CHAPUTA nasema hivii....tatizo sio nyeto ni mfumo wako wa uzazi kuathiriwa na kichocho sugu cha miaka saba.kama ulivyosema toka utotoni una maumivu ndani.na pia ukipiga bao mbili unaumia.hali ya maumivu inakufanya ujihisi kutokuwa sawa wakati wa tendo .nenda " sipitali" wakafanye uchunguzi wa afya ya uzazi.PUNYETO ni salama kwa AFYA yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta asali Na mayai ya kienyeji Kisha uchanganye vyote alafu unywe Mara mbili kwa siku , itakusaidia.....pia usisahau mazoezi haswa kukimbia angalau dakika 20 kwa Kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta mizizi ya mlonge mibichi chemsha kama vikombe viwili au tatu!!!kunywa kama chai asubuhi na jioni siku zote hadi tatzo likiisha!!!!UHAKIKA MKUU!!!KAMA HUJAELEWA NI PM!!!

Nimeelewa nitalifanyia kazi


Sent by iOS
 
Back
Top Bottom