Pole sana kwa huo mtihani aisee. Tatizo lako sio kubwa na linatibika hata kwa miti shamba kadhaa tuu especially hilo la kutoweza kusimamisha,kukosa hamu,kufika kileleni,kuongeza mbegu na kuhusu hilo la maumbile madogo unaweza kukuza ila ni risk sana.
Anza kwa kujitibu akili yako, iaminishe tatizo lako ni dogo na lina tibika kisha tafuta mtaalam mzuri wa miti shamba atakupa dawa ambazo sidhan kama sitaku ghalim sana,matumizi yake hayatochua wiki na matokeo ya dawa utaanza kuyaona nadhan kuanzia siku ya pili baada ya kuanza dawa,watu wa aina yako nimeshuhudia wakipona na wengine walienda mpaka nje ila wakaludi bila kupona ila walipoingia kutafuta wazee walipona
Unaweza kujalibu na wazee wa humu kama akina kabanga,mzizi mkavu na mtu mzito nadhan utapata mwelekeo.
Pia siku nyingine uwe unasema na eneo ulipo itakulahisishia kupata msaada haraka.
Pawaga.