Mke wangu kanifanya nianze kupiga punyeto na sasa siwezi tena kuacha

Mke wangu kanifanya nianze kupiga punyeto na sasa siwezi tena kuacha

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,591
Reaction score
6,114
Nilipatwa na mkasa wakuondolewa kazini kwa vyeti feki, uzuri nilikuwa na kijiakiba changu, nikaingia kwenye sekta ya ajira isiyo rasmi. Nikanunua kirikuu na nikawa nalaza hadi elfu themanini kwa siku.

Mwezi uliopita gari imepata ajali, nahangaika kuirudisha rodi, ila mke wangu kawa mkali, hamna unyumba, hamna Amani.

Nikaanza kujipururua mbele yake, akasema niendelee tu, maana hana hamu tena na mimi na wala hani feel tena.

Basi Kila siku usiku najitwanga kamoja Kisha nalala. Nikishtuka usiku wa manane Nina kengine na alfajiri najipendelea pia. Kwa kweli simsumbui na ninaona raha sana.

Hii kitu ni tamu sana na imenisahaulisha kabisa ladha ya papuchi ambavyo nilikuwa naipata kwa manyanyaso.

Hela Sina, nitafute mchepuko wa Nini?
 
Hizi nyumba zina mambo mazito sana huwa yanaendelea huko ndan. Hata mm kwangu hakuna tofauti sana na kwa mtoa mada yaani naweza nikapewa mara moja kwa week mbili, sometimes hata mwezi unaweza katika hana kitu umepata.

Sema mm nimejitafutia ka mchepuko kangu ka kupunguzia nyege, nikiona tu zimejaa naenda kuzimwaga huko narudi naendelea na kazi. Maana nilishambembeleza huyu mtu hadi nikanyoosha mikono, tumebaki tunalea watoto tu akinipa poa asiponipa po vile vile.
 
Back
Top Bottom