Mke wangu kanifanya nianze kupiga punyeto na sasa siwezi tena kuacha

Mke wangu kanifanya nianze kupiga punyeto na sasa siwezi tena kuacha

Kikao cha CHAPUTA cha September kitachofanyika pale Tabata Kisukuru napendekeza upate usajili wa Kudumu....

Piga NYETO ili Ujinga ukutoke....

Copy iende kwa Katibu CHAPUTA...

BUT Nyeto kwa sisi tulio nje ya Chaputa tunaona ni Ishara ya Udhaifu,,na pia huwa inaleta msongo wa mawazo,,,na kupunguza hisia kwa jinsia nyingine,,,,BUT Love is no Longer for the Weak,,,,SIJUI MNAOA ILI IWEJE...?.....sasa wewe umeoa na bado unapiga Nyeto....ndio nini hiki....??

Na tukisema Vijana acheni KUOA mnatuona kama wapiga ramli... Haya oaneni mkapige Nyeto....Mazingira yatawafundisha...

Be a Man,,,
Umewahi piga nyeto?
 
Badae unakuwa shoga. Hapo ni kwamba nguvu zinaisha zote misuri inapasuka na mapepo yanachukua nguvu maana si unavuta hisia, means unazama rohoni ni dhambi kubwa unafanya.

Kama unanyimwa unyumba ni hamna ndoa tena hapo talaka
Nani kakudanganya? Ukizini je? Umekariri
 
Katika maisha nimejifunza jambo moja, usiwe na kitu kimoja tu,
Kuwa na wanawake wawili, nyumba mbili, gari mbili na kila unachofanya hakikisha kinafanyika mara mbili hutojuta.
Ukiwa na nyumba mbili mwanamke akikuudhi na mkashindwa kuelewana unahamia nyumba nyingine umamuacha hapo, Ukiwa na wanawake wawili mmoja anapokusumbua mwingine anakupa faraja, Ukiwa na magari mawili moja likisumbua unachukua jingine.
Kuna mshikaji nimemshauri atafute mchepuko, anadai anaweza kaa wiki mbili papuchi ya mkewe hajaigusa, na ili apewe mpaka aanze kubembeleza kama dem mpya.
 
Sidhani,labda unatania TU!!

Hilo ni janga kwa taifa!

Muda sio mrefu macho yako yatapoteza KUONA VIZURI!!

Utakuwa mdhaifu,legelege Hata kazi utashindwa kufanya! MKUU hapo unakata Roho Pole pole ,akili yako itaganda kabisa kama taahira vile,utapata na msongo mkali wa mawazo baadae utajiua au kujinyonga kabisa!!

Baadae utaishiwa nguvu za kiume jumla!!

Ushauri

-Bila kujali NDOA ulifunga,Katika kanisa au msikiti gani vunja ndoa mtafute mnyonge mwenzako ufanye nae ILI kutibu tatizo lako!!mwambie aende atafute type yake! Mungu anakuonyesha dhahiri shahiri kuwa ulikosea kuoa!!BILA kujali mmefunga ndoa au lah!

Pole Sana AISEH!!!!!
 
Kila nikiwaza kuoa tena, nakutana na nyuzi kama hizi JF.

Ahaa, hapana aisee niendelee kusikilizia tu.
 
Nilipatwa na mkasa wakuondolewa kazini kwa vyeti feki, uzuri nilikuwa na kijiakiba changu, nikaingia kwenye sekta ya ajira isiyo rasmi. Nikanunua kirikuu na nikawa nalaza hadi elfu themanini kwa siku.

Mwezi uliopita gari imepata ajali, nahangaika kuirudisha rodi, ila mke wangu kawa mkali, hamna unyumba, hamna Amani.

Nikaanza kujipururua mbele yake, akasema niendelee tu, maana hana hamu tena na mimi na wala hani feel tena.

Basi Kila siku usiku najitwanga kamoja Kisha nalala. Nikishtuka usiku wa manane Nina kengine na alfajiri najipendelea pia. Kwa kweli simsumbui na ninaona raha sana.

Hii kitu ni tamu sana na imenisahaulisha kabisa ladha ya papuchi ambavyo nilikuwa naipata kwa manyanyaso.

Hela Sina, nitafute mchepuko wa Nini?
Una akili nyingi sana. Idumu punyeto
 
Badae unakuwa shoga. Hapo ni kwamba nguvu zinaisha zote misuri inapasuka na mapepo yanachukua nguvu maana si unavuta hisia, means unazama rohoni ni dhambi kubwa unafanya.

Kama unanyimwa unyumba ni hamna ndoa tena hapo talaka
Ushoga unaingia aje hapa kwa haya maelezo?

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Ndoa hizi Kuna mkaka rafiki yangu nae Ana niambia mkewe hampi tendo kwa muda Sasa kwa kuwa jamaa ana pitia changamoto kazini yupo tuu home! Wife Sasa ndiye Ana toa pesa ya kula anasema Ana simangwa! Na Hilo duka analo tambia mtaji kapewa na mume we doh
Mambo ya mkono mtupu haulambwi.

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Yaani nipo na mzigo ndani afu nanyetuka hafu asubuhi naacha hela ya matumizi.. maza fanta..
Yaani huu ukuda utanigombanisha na mzee walah! Hawajui hawa slat queens wa siku hizi yeye anafosi nioe tu. Sasa lengo la kuoa ni nini? Punyeti nikajua ni mabachela tu na wanafunzi, kumbe hata waliooa?
 
Back
Top Bottom