Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
1. Jua mahusiano ni mtaa wa njia mbili, mkeo ana njia yake na wewe una njia yako , ni kweli njia yako kwasasa imeziba inakubidi itafute njia mbadala usonge mbele kwenye shida zako za kingono umeshapata njia mbadala na unasonga mbele.
2. Kazi ya mume ni kutoa huduma za msingi kwa familia yake chakula, malazi na makazi na kwasasa hali yako ya ki hali na mali haikovizuli tafuta shughuli yakufanya hatakama haina hadhi kubwa jikaze uanze kuingiza kipato.
3. Kamwe usishinde nyumbani wala vijiwe vya kalibu na nyumbani mara kwa mara na hakikisha unakuwa nadhifu fua nguo zako zinyooshe , nyoosha roho yako usimwekee kinyongo.
4. Acha kuomba unyumba maana ni haki yako na hakikisha ukilala nae usimsumbue kwa lolote kwa maana amelaaniwa yeye amtegemeae mwanadamu usimtegemee kukupa furaha , furaha jipe mwenyewe.
5. " Asie fanya kazi na asile " mume kukaa kwenye nyumba usiyo iudumia ni sawa na kuwaibia wanafamilia yani unamwibia mke wako na watoto sasa mke atakupaje unyumba mwizi 🤣🤣🤣.
6. Nikweli ndugu unapitia kwenye kipimo chako cha kwenda kufanikiwa kaa chini usiwaze ya nyuma kabisa wala usimwangalie anaekwambia umekwama unaweza unaweza unaweza na na amini utavuka ila anza na chochote mkononi maana tofauli juu ya tofali baada ya tofali ni nyumba