Nakukunda
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 876
- 1,643
DuhHizi nyumba zina mambo mazito sana huwa yanaendelea huko ndan. Hata mm kwangu hakuna tofauti sana na kwa mtoa mada yaani naweza nikapewa mara moja kwa week mbili, sometimes hata mwezi unaweza katika hana kitu umepata.
Sema mm nimejitafutia ka mchepuko kangu ka kupunguzia nyege, nikiona tu zimejaa naenda kuzimwaga huko narudi naendelea na kazi. Maana nilishambembeleza huyu mtu hadi nikanyoosha mikono, tumebaki tunalea watoto tu akinipa poa asiponipa po vile vile.
Mkuu omba toba kwa Mungu kwa kutosimama kwenye nafasi yako kama kichwa.
Au mnakuwa mmelogwa?
How comes?
Uwiii Mungu atusaidie