nyanyantole
JF-Expert Member
- Jun 22, 2015
- 664
- 1,050
Mnatufanya na sie wadogo zenu tusitamani kuoa, sasa unaoa ili iweje asee, poleni sana mabrother.Hizi nyumba zina mambo mazito sana huwa yanaendelea huko ndan. Hata mm kwangu hakuna tofauti sana na kwa mtoa mada yaani naweza nikapewa mara moja kwa week mbili, sometimes hata mwezi unaweza katika hana kitu umepata. Sema mm nimejitafutia ka mchepuko kangu ka kupunguzia nyege, nikiona tu zimejaa naenda kuzimwaga huko narudi naendelea na kazi. Maana nilishambembeleza huyu mtu hadi nikanyoosha mikono, tumebaki tunalea watoto tu akinipa poa asiponipa po vile vile.
πππ Nyumba zina mengi naona tunafanana.Hizi nyumba zina mambo mazito sana huwa yanaendelea huko ndan. Hata mm kwangu hakuna tofauti sana na kwa mtoa mada yaani naweza nikapewa mara moja kwa week mbili, sometimes hata mwezi unaweza katika hana kitu umepata. Sema mm nimejitafutia ka mchepuko kangu ka kupunguzia nyege, nikiona tu zimejaa naenda kuzimwaga huko narudi naendelea na kazi. Maana nilishambembeleza huyu mtu hadi nikanyoosha mikono, tumebaki tunalea watoto tu akinipa poa asiponipa po vile vile.
Usiogope mdogo wangu ndiyo maisha hayo ni kupambana na changamtoto yeyote inayojitokeaza cha msingi tafuta wa kufanana na ww uoe, ila muombe sana Mungu upate mwanamke sahihi.Mnatufanya na sie wadogo zenu tusitamani kuoa, sasa unaoa ili iweje asee, poleni sana mabrother.
yani hakuna mwanamke atakuheshimu ukiishiwa helaa hata mkeo wa ndoa atakuona kama mbwa tuuuNdoa hizi Kuna mkaka rafiki yangu nae Ana niambia mkewe hampi tendo kwa muda Sasa kwa kuwa jamaa ana pitia changamoto kazini yupo tuu home! Wife Sasa ndiye Ana toa pesa ya kula anasema Ana simangwa! Na Hilo duka analo tambia mtaji kapewa na mume we doh
Vunja ndoaNilipatwa na mkasa wankuondolewa kazini kwa vyeti feki, uzuri nilikuwa na kijiakiba change, nikaingia kwenye sekta ya ajira isiyo rasmi. Nikanunua kirikuu na nikawa nalaza hadi elfu themanini kwa siku...