Mke wangu kanikimbia

Mi mwanamke akisha kuwa na wivu uliopitiliza,unanipa usumbufu Sana wakati mimi simfanyii hivyo,huwa nakata mahusiano!Uhusiano haupaswi kuwa kero hata kama ndo kupenda kwenyewe

Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
 
Ndio mapenzi yenyewe hayo..siku zingine ushinde home na familia..zingine na washkaji..naye anakuhitaji boss. wivu
wao ndio mapenzi keshajifunza wote ndio tabia zao...
 
Nakushauli kaaa na mama yake ukiwa pamoja na mkeo uweleze anayoyafanya, lkn pia uwambie kwamba cm ya mwanaume haifai kukaguliwa anatafuta nn ktk cm yako?

Jambo la mwisho mwambie akapumzike kwao mpka utakapokuwa tayali utakwenda kumchukua, yaaani mkimaliza mazungumzo mwambie umemsamehe lkn apumzike kwanza kwao mpka utakapokuwa tayali utamfuata.

Hapo ww fanya shughuli zako kama wiki 2 kisha unamfuata.
 

She is just insecure. Nachokiona hapo ni kwamba haamini kwamba angeweza kumpata mwanaume mwenye sifa kama zako hususani uwezo wa kiuchumi.

Kwa kifupi, huyu mwanamke anataka umjengee imani kwamba hutomuacha. Hiyo ndo shida. Alafu inawezekana bado umri ni mdogo haelewi mambo.

Burudani ya kuoa mke unayemzidi umri ndo kama hizo, inabidi uvae vyatu vya baba wakati mwingine umuelekeze panapohitajika ndo uweze kumpakata vizuri baadae kama mume ili kujenga amani ya kudumu.
 
Ofcourse na mimi nina mapufu kwa sababu huwa tukigombana nachukua muda sana kushuka

Ahaha ahha dah! eti nachukua muda sana kushuka , “hakuna mwanamke anayependa kuishi na mwanaume mkali na mwenye gubu” zingatia sana
 
Mke ni kilaza, full stop
 
Wote mna matatizo, nendeni kwa mwanasaikolojia wa mahusiano.
 
Kumbe yupo magethoni wewe unasema kakukimbia..
Punguza umalaya hapo kuna kitu huajakiweka (tatibia zako huko unakoenda kunywa na pasward kwenye simu nayo inampa wasiwasi sana)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Dah vitu vingine buana
 
Ana dalili ya kuwa demu malaya ambae anatumia uzoefu wake binafsi na uzoefu wa wanaume wake vipenzi hapo kabla, anayoyaisha akiwa chuo na alioishi kabla ya kuwa na wewe ndio msingi. Mdau ebu atujuze ni kabila gani huyo mwanamke wake tumpe dondoo za uangalifu.
 
Na inakuaga ngumu kupata furaha ya kua handled kama mume, muda mwingi ni kusolve na kuelekeza kama baba vile. Ni changamoto sana kua watu wa hivyo.
 
Mwanamke kabila gani na mnaishi mkoa gani? Ukijibu ntaweka neno
 
Kuna wakat wife alinisumbua sana gubu na ugomv kila siku wazee wakasolve weee wakachoka.

Siku moja baba aliniita akanitamkia neno zito " mura ukiona mwanamke anakusumbua ujue hautombi vizur,mwanamke yoyote anayefanywa vzr ndani ya ndoa anakuwaga mpole na msikivu"

Nikajaribu kufanya mzee alivyosema asee kila kitu kilichange na wife akawa mke bora kabisa
Wivu ukaisha na maisha yakasonga
Try it utakuwa unambania uchi so anahisi unapeleka kwingine pia mpe zawad za mara kwa mara hawa watu wanahitaj kuoneshwa wanapendwa
 

Upande wa pili ni kwamba mwanamke inawezekana anatafuta njia ya kukutawala. Akiplay victim vizuri utajiona kama unamuonea hivyo kumuachia akupande kichwani. Hapo vitasa utakavyochezea siyo vya nchi hii.
 
Huyo wako hana tatizo bana, sasa mkeo kukuonea wifu ni kosa kweli?! We unataka amuonee wivu nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…