Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

Sio waume zetu wala wapenzi wetu, sijui umeelewa au unahitaji nikuwekee picha na video?
As long sio waume ama mpenzi kwako ila ni mume ama mpenz kwa mwengine so kuko na kiumbe bado kamgueza kaka / baba yako kimanunu vile vile

Hyo picha au video ni ya wao wakiwa wanabweka asubh ama?
 
[emoji28][emoji28][emoji28] sasa mkuu mtu akikwambia wanaume wote ni mbwa jua ametendwa na she is reffering to those who hurts her, kwa hiyo kama baba zetu na kaka zetu nao ni mbwa mama zetu na wifi zetu ndo wanajua, ila mimi siwezi kusema kwamba wao ni mbwa unless wapenzi wao waseme
Now your coming into your senses Good

Anyways how are you??
 
Duh! Iyo kali sana wanasema uyo ni chaguo lako sasa sijui mlikitana baa au disco
 
atakuwa ni mhehe nini? maana wahehe mbwa kwao anaheshimika sana
 
Mbwa kiburunge ni "mume".Do not judge ask!
 
Labda ni mimba ndio imemfanya hivyo akusave [emoji240]
 
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESK TOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.

Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.

Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.
Sema wala sio kitu cha kulalamika, na wewe msave "kondoo jike"
 
Nadhani mwandishi stori yako ina dhamira tofauti.

Umeelezea mambo yasiyo ya msingi katika stori yako.

Setting ya tukio imesheheni vijenzi visivyo na umuhimu.

Mhusika "first born" amepewa maelezo mengi.

Namna ya usimulizi (Nafsi ya kwanza) inatufanya tutilie mashaka ukweli wa jambo hili.

Anyway
Pole kwa kuseviwa "mbwa"
 
Tulikuwa na safari ya kwenda TABORA ambapo ndo kwetu nilipozaliwa sasa tuliamka alfajiri ili tuondoke kumbe first born wangu aliiba simu ya mama yake ambae ni mke wangu jana usiku ili acheze GAME akaenda nayo chumbani mwake ambapo kuna smart TV ambayo ina Account ya NETFLIX na Laptpot na DESK TOP maana nina muandaa dogo awe expert kwenye field ya Film theater and make up japokuwa anapenda movies za ANIMATIONS.

Anyway baada ya kuitafuta kwenye master bedroom yetu hatukuipata ndipo nilipo muambia mke wangu ai Beep kwa simu yangu huku mimi nimejiongeza kwenda kwenye room ya mpenda ma Game first born a.k.a my son ndipo nilipoikuta simu inaita ila jina limedisplay “MBWA” . NILIIKUTA SIMU ILA JINA NILILOSEVIWA LILINIKATA MAINI SANA NILIANZA KU REVIEW MENGI MNO AMBAYO YANAFANANA NA MIMI KUSEVIWA MBWA ILA SIKUPATA JIBU.

Mpaka sasa nipo nae TABORA, nimekosa raha nimeshindwa hata kumuuliza kwa sababu najiuliza nianzie wapi nakosa majibu.

Yani mke wako alafu unajiuliza uanzie wapi kumweleza! Duh hatari sana.....unaogopa atakuacha ama?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mke katisha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo yameanza kuback-fire eeh!! Tunajuaga ila tunamite tu. Haya sasa !!
 
Back
Top Bottom