Mke wangu kanisukuma kitandani kisa nimepanda miguu michafu

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,367
Reaction score
11,604
Leo nimeshindwa kabisa kwenda kazini, mbavu yangu changa ya upande wa kulia nahisi imetenguka

Usiku wa jana kulikuwa na kijivua kazini ninapotafutia ugali, nikarudi mida ya saa nne usiku nikiwa nimejaa matope hasa hasa miguuni na kwenye foyengo yangu. Nikamuamsha mama watoto na kumuuliza maji yako wapi ninawe?

Akasema nisipende kusumbua watu wakiwa wamelala, nikamuuliza tena, akanijibu yapo kwenye kishundu. Nikaona wacha nipande hivyo hivyo nipumzishe fuvu.

Punde si punde ndo naanza kuingia nusu kaputi nilishtukia ambakati moja takatifu. Nikabaki nagugumia maumivu, nikaamua nikalale ubarazani kwa hasira
 
Bora wewe Mimi niliamka asubuhi nikamuaga kuwa naenda kuangalia Ardhi ya Shamba Pembeni ya Maji, nikawapitia madalali na Mshikaji wangu mmoja, Kule nilipata Ekari 20 za gharama ya 30M. Tulienda na boda boda na washikaji pamoja na madalali.

Wakati tunarudi Mvua ikinyesha Sana tukaanguka na boda, Exhaust ya Moto ikaniunguza nusu ya mguu wote.

Niliporudi akaniona napaka dawa mguuni akaniuliza umekuwaje nikamwambia tulipata ajali, hakusema pole akanambia Hicho ndicho kilikupeleka. Niilipigwa na hasira, nikanyamaza.

Siku ya kwenda kufanya malipo Nikapeleka mashahidi majirani wasanii document zangu, huyu hapati hata Eka moja.
 
.....koma kuidharirisha hii forum.
 
Leo nimeshindwa kabisa kwenda kazini, mbavu yangu changa ya upande wa kulia nahisi imetenguka

Usiku wa jana kulikuwa na kijivua kazini ninapotafutia ugali, nikarudi mida ya saa nne usiku nikiwa nimejaa matope hasa hasa miguuni na kwenye foyengo yangu. Nikamuamsha mama watoto na kumuuliza maji yako wapi ninawe?
Yani wewe nyumbani kwako hujui maji yanapokaa mpaka umuamshe mwenzako usingizini saa nane usiku 😳?
Akasema nisipende kusumbua watu wakiwa wamelala, nikamuuliza tena, akanijibu yapo kwenye kishundu. Nikaona wacha nipande hivyo hivyo nipumzishe fuvu.
Na miguu yenye matope ukapanda kitandani 😳, una ujasiri wa kutisha!
Punde si punde ndo naanza kuingia nusu kaputi nilishtukia ambakati moja takatifu. Nikabaki nagugumia maumivu, nikaamua nikalale ubarazani kwa hasira
Kama hukutema damu basi alikusukuma kwa upendo tu ili kukumbusha utumie akili 😩
200.gif
 
Ulifanya vizuri kulala kibarazan. Ungeoga au kunawa ningekuona wa ovyo sana coz mwanaume kuoga ni tabia mbaya. Kuoga tunaoga cku mvua imenyesha unahakikisha umenyeshewa kaz kwisha.
Wale wa kuleta matusi majukwaani mniambie niko doria and i want to Deal with them perpendiculally
 
Na wewe kwanini upande kwenye kitanda chake ukiwa na miguu michafu?
 
Bora wewe Mimi niliamka asubuhi nikamuaga kuwa naenda kuangalia Ardhi ya Shamba Pembeni ya Maji, nikawapitia madalali na Mshikaji wangu mmoja, Kule nilipata Ekari 20 za gharama ya 30M. Tulienda na boda boda na washikaji pamoja na madalali.

Wakati tunarudi Mvua ikinyesha Sana tukaanguka na boda, Exhaust ya Moto ikaniunguza nusu ya mguu wote.

Niliporudi akaniona napaka dawa mguuni akaniuliza umekuwaje nikamwambia tulipata ajali, hakusema pole akanambia Hicho ndicho kilikupeleka. Niilipigwa na hasira, nikanyamaza.

Siku ya kwenda kufanya malipo Nikapeleka mashahidi majirani wasanii document zangu, huyu hapati hata Eka moja.
Huu mchango wako umemzidi umri huyu gen z maana ni wa kibabe sana atakuja kuelewa baada ya miaka 10. Kwa sasa tuache aendelee kusukumwa
 
Leo nimeshindwa kabisa kwenda kazini, mbavu yangu changa ya upande wa kulia nahisi imetenguka

Usiku wa jana kulikuwa na kijivua kazini ninapotafutia ugali, nikarudi mida ya saa nne usiku nikiwa nimejaa matope hasa hasa miguuni na kwenye foyengo yangu. Nikamuamsha mama watoto na kumuuliza maji yako wapi ninawe?

Akasema nisipende kusumbua watu wakiwa wamelala, nikamuuliza tena, akanijibu yapo kwenye kishundu. Nikaona wacha nipande hivyo hivyo nipumzishe fuvu.

Punde si punde ndo naanza kuingia nusu kaputi nilishtukia ambakati moja takatifu. Nikabaki nagugumia maumivu, nikaamua nikalale ubarazani kwa hasira
Kwa mwanaume ni aibu sana kutoa stori za kidhaifu namna hiyo.

Halafu umepewa code kabisa 'maji yapo kwenye kishundu' ukashindwa kujiongeza!

Angelikuzaba makofi kabisa kwa kosa la kushindwa kuwajibika.

Kosa kubwa sana la chumbani hilo ulilolifanya kwa uzembe wako.
 
Umeangalia DP ya unayemjibu lakini? Japo sio muhimu lakini Ina maana
 
Huyo shemeji anastahili anywe soda kwa kazi nzuri sana ..Hata kama umechoka vip huwezi kulala bila kuoga inshort ww nili chafu mm hua nawaita watu km ww inzi wa chooni
 
Wanawake wa hivo mnawaokota wapi ? Huyo hashindwi kukuchoma kisu ukiwa umelala.....
Kuna namna anakuona Boya
 
Jombie umezingua kinoma yaan mwanangu unapandaje kitandan na hayo mazingira sijui uliila nin ban maana hilo jau
 
Back
Top Bottom