Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
.....koma kuidharirisha hii forum.Leo nimeshindwa kabisa kwenda kazini, mbavu yangu changa ya upande wa kulia nahisi imetenguka
Usiku wa jana kulikuwa na kijivua kazini ninapotafutia ugali, nikarudi mida ya saa nne usiku nikiwa nimejaa matope hasa hasa miguuni na kwenye foyengo yangu. Nikamuamsha mama watoto na kumuuliza maji yako wapi ninawe?
Akasema nisipende kusumbua watu wakiwa wamelala, nikamuuliza tena, akanijibu yapo kwenye kishundu. Nikaona wacha nipande hivyo hivyo nipumzishe fuvu.
Punde si punde ndo naanza kuingia nusu kaputi nilishtukia ambakati moja takatifu. Nikabaki nagugumia maumivu, nikaamua nikalale ubarazani kwa hasira
Yani wewe nyumbani kwako hujui maji yanapokaa mpaka umuamshe mwenzako usingizini saa nane usiku 😳?Leo nimeshindwa kabisa kwenda kazini, mbavu yangu changa ya upande wa kulia nahisi imetenguka
Usiku wa jana kulikuwa na kijivua kazini ninapotafutia ugali, nikarudi mida ya saa nne usiku nikiwa nimejaa matope hasa hasa miguuni na kwenye foyengo yangu. Nikamuamsha mama watoto na kumuuliza maji yako wapi ninawe?
Na miguu yenye matope ukapanda kitandani 😳, una ujasiri wa kutisha!Akasema nisipende kusumbua watu wakiwa wamelala, nikamuuliza tena, akanijibu yapo kwenye kishundu. Nikaona wacha nipande hivyo hivyo nipumzishe fuvu.
Kama hukutema damu basi alikusukuma kwa upendo tu ili kukumbusha utumie akili 😩Punde si punde ndo naanza kuingia nusu kaputi nilishtukia ambakati moja takatifu. Nikabaki nagugumia maumivu, nikaamua nikalale ubarazani kwa hasira
Huu mchango wako umemzidi umri huyu gen z maana ni wa kibabe sana atakuja kuelewa baada ya miaka 10. Kwa sasa tuache aendelee kusukumwaBora wewe Mimi niliamka asubuhi nikamuaga kuwa naenda kuangalia Ardhi ya Shamba Pembeni ya Maji, nikawapitia madalali na Mshikaji wangu mmoja, Kule nilipata Ekari 20 za gharama ya 30M. Tulienda na boda boda na washikaji pamoja na madalali.
Wakati tunarudi Mvua ikinyesha Sana tukaanguka na boda, Exhaust ya Moto ikaniunguza nusu ya mguu wote.
Niliporudi akaniona napaka dawa mguuni akaniuliza umekuwaje nikamwambia tulipata ajali, hakusema pole akanambia Hicho ndicho kilikupeleka. Niilipigwa na hasira, nikanyamaza.
Siku ya kwenda kufanya malipo Nikapeleka mashahidi majirani wasanii document zangu, huyu hapati hata Eka moja.
Kwa mwanaume ni aibu sana kutoa stori za kidhaifu namna hiyo.Leo nimeshindwa kabisa kwenda kazini, mbavu yangu changa ya upande wa kulia nahisi imetenguka
Usiku wa jana kulikuwa na kijivua kazini ninapotafutia ugali, nikarudi mida ya saa nne usiku nikiwa nimejaa matope hasa hasa miguuni na kwenye foyengo yangu. Nikamuamsha mama watoto na kumuuliza maji yako wapi ninawe?
Akasema nisipende kusumbua watu wakiwa wamelala, nikamuuliza tena, akanijibu yapo kwenye kishundu. Nikaona wacha nipande hivyo hivyo nipumzishe fuvu.
Punde si punde ndo naanza kuingia nusu kaputi nilishtukia ambakati moja takatifu. Nikabaki nagugumia maumivu, nikaamua nikalale ubarazani kwa hasira
HahaahKwa mwanaume ni aibu sana kutoa stori za kidhaifu namna hiyo.
Halafu umepewa code kabisa 'maji yapo kwenye kishundu' ukashindwa kujiongeza!
Angelikuzaba makofi kabisa kwa kosa la kushindwa kuwajibika.
Kosa kubwa sana la chumbani hilo ulilolifanya kwa uzembe wako.
Umeangalia DP ya unayemjibu lakini? Japo sio muhimu lakini Ina maanaKwa mwanaume ni aibu sana kutoa stori za kidhaifu namna hiyo.
Halafu umepewa code kabisa 'maji yapo kwenye kishundu' ukashindwa kujiongeza!
Angelikuzaba makofi kabisa kwa kosa la kushindwa kuwajibika.
Kosa kubwa sana la chumbani hilo ulilolifanya kwa uzembe wako.