Mke wangu kanisumbua sana, leo nimemuandikia barua ya kujieleza kwanini nisimchukulie hatua za kinidhamu kwa kukosa maadili na kukiuka Kanuni za ndoa

Ni Ada tu Au kuna mengine broπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Vumilia tu January ngumu hiii mzee Loh
 
Mbona kosa kuu la kukunyima sijaliona?huyo anavumilika bado
 
Tatizo la vijana wa Gen Z hamjui kuwapiga pumbu kisawasawa hao wake zenu ndio maana kila siku malalamiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…